Nimfanye nini huyu kidudu mtu?

Nimfanye nini huyu kidudu mtu?

Wewe pamoja na mchuchu wako mwanchekeshaaaa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kheee makubwa siku hizi hadi macheck bob wa bongo wana wanasheria eti.
Sijaona kosa la huyo dada unaesema kajamba nani tatizo linaonesha ni kuwa hasira za kumkosa ndo zinakufanya uropoke utumbo humu jf.Pole kama ulihisi huyo dada ni kichwa maana inaonesha we ni mla vichwa mkubwa.KAMA WE UNAJIFANYA MLA VICHWA NITAFUTE MIMI UONE KAMA HUKUJA HAPA JAMVINI UNALIA.
 
Aaa wakishua leo uso kwa uso na watandale kwisha habari yako, yaani unawaza kumshughulisha mwanasheria kwa ishu kama hii, acha hizo bana au ndo unataka kumwonyesha kuwa wewe ni wa kishua. Hahahahaaaaaaaa!! chezeiya watoto wa uswazi wewe.....
 
Kheee makubwa siku hizi hadi macheck bob wa bongo wana wanasheria eti.
Sijaona kosa la huyo dada unaesema kajamba nani tatizo linaonesha ni kuwa hasira za kumkosa ndo zinakufanya uropoke utumbo humu jf.Pole kama ulihisi huyo dada ni kichwa maana inaonesha we ni mla vichwa mkubwa.KAMA WE UNAJIFANYA MLA VICHWA NITAFUTE MIMI UONE KAMA HUKUJA HAPA JAMVINI UNALIA.
Aaaaffuuu mara nyingi wenye mkwala kama wako huwa ni rahisi sana kuwapata...
 
mnafanana tu wala wewe na yeye tabia zenu hazitofautiani
 
mmmh! b realistc pleas, kuxoma 2naweza 2cjue bt hata picha....
 
This story is too good to be true...i bet this kid is only bragging here about himself and boasting for nothing..
Hivi kweli yupo binti anayetumia mtandao mpaka akaweka kifurushi atakupiga ndui ya jero???.....acha mambo hizo bwana mdogo....Na hata kwenye maisha halisi kama unapata mademu basi wana kazi hao mademu zako!!!......i don't buy this nonsense.....
 
Hapo kwenye bold ni mimi kizungu kinanipiga chenga au? mbona topic ya tense mwalimu wangu alikuwa fit....
Back to topic: mpeleke kwenye sheria afungwe kifungo cha maisha kwanini akutukane we WA KISHUA....
usisahau kutupa ID yake!!!!

c ameshakwambia ni "kajamba nani" au me cjaelewa
 
Last edited by a moderator:
Dogo unatatizo kubwa! Bila shaka ulimlazimisha mwenzio aje kuchezea dushelele kwenye hiyo first meeting yenu.
Ungeweza kuyamaliza mambo kiustarabu tu na mwenzio, badala ya kuja kumuanika hapa. Kama vipi tupia id yake hapa ili tuwafanyie mdahalo, tujue ukweli, vinginevyo hii ni stori ya kutunga tu!
 
Wewe umepiga simu ukatukanwa sasa huko kwa mwanasheria wako unaenda atakushauri nini na nimwanasheria gani huyo atapoteza muda kuskiliza such a weird story, wewe unataka kuoshea kwamba unamwanasheria hapa mjini wanasheria ni wengi anaweza akawa bush lawyer umemkuta hapo anakwambia mwanasheria na kwanini kashindwa kukushauri umekuja huku au unatafuta wansheria wa huku mzazi, dont waste your time and energy jaribu kutafuta kazi ya kufanya kwa ujenzi wa taifa...
 
hiyo ni siri yenu nyie wawili kwa nini uanike hapa kwenye jamvi? wakati mnapanga miadi mbona haukuomba ushauri? ila we mpotezee tu.
 
Nani alimuanza mwenzie!,yaani,we ndo ulitongozwa,au wewe ndo ulitogoza! Kama ulimuseduce mashariti na vigezo vizingatiwe,kazi ni kwako!
 
Hahahahahahahahah

heheheheh system bongo.....
System inashinda jf kutafuta mademu........
Ndo maana nchi imewashinda.......

Inanikumbusha mbaaali kuna mtu alinitongoza kwa gia ya system.....nikamwambia nipe siku 3 nitakwambia unafanya kazi wapi........... Siku nilomwambia aliko akaingia mitini....ujanja wa kizamani sana huu.....
 
wakishua huwa hawajisemi, kama dem wa tandale kwa tumbo we utakuwa unaishi tandale kwa mfuga mbwa
 
Nashukuru Wakubwa Na Wadogo Wenzangu Kwa kuweza Kunipa USHAURI, Pia Na Wale Ambao Wameioppose Kwa namna Moja au Nyingne kama Evelyn Salt ambaye nahisi na yy hana Tofauti na huyu dada niliyekorofshana nae , Lakini Nataka Niwaambie Hiki Ki2 Kimenitokea Kweli Na wala sio story ya kutunga, Cjashindwa Kukaa mimi na MWANASHERIA WANGU hapana, Ila Nikaona NIpate MAWAZO ya W2 wengi kwani naamin umoja ni NGUVU , UTENGANO ni UDHAIFU...Regards To y'all
 
Asalaam Alleykhu Wale ndugu Zangu na Bwana Asifiwe , Hope Wanajamvi wote mpo poa.,
Kuna Demu nilikutana nae kwenye mtandao huu wa J.F juzi juzi tuu hapa., Nikaona ananiPM Kwa Sana Nikaona Kama AnaInterest Na mm, Basi 2kachat kwa JF mpk ikafkia hatua 2kapeana Namba,..Kiufupi Kwa Jinsi nilivyomuona ni mwanamke mwenye uelewa mdogo alafu naona Bdo anaelement za KISWAHILI , kama Mizinga Ya Vocha Alafu bora ingekuwa Mizinga Mikubwa Eti NAomba Nirushie Vocha Ya Mia 5 Kwa Simu, Kwa Kuwa Mimi MOTTO wangu ni kutokuonga nikamchomolea siku ya kwanza aliponipiga Mzinga Huo,..2kaendelea kuchat ikafka muda wa Kumeet, Mtoto Nikamwambia 2mit Mlimani City Pale Chicken Heart, akasema Poa, sasa Jana Mimi Npo Na Goons Yangu maeneo yale ananipigia Simu Anakuja ila kuna sehemu kapitia, Nikamchana kwmb c o kesi Mimi bdo nipo kwani kikao changu ni kikubwa , nikamweleza Majeshi nanyanyua saa Sita, Ilipofka Mida ya saa2 akani2mia Txt Kwamba ameghairi kuja cz kuna mambo anafanya kwaiyo 2fanye cku nyingine, Nikamwambia Mbona unakuwa Mswahili Namna Hiyo, Basi Nilipomwambia Hivyo akaanza kuporomosha lugha za kwao Tandale kwa Tumbo Plus matusi Kibao Yaani.,Mimi nikamwambia hawezi kushinda na mtu mwenye hela na ambaye yupo kwenye system ambaye ni mimi, Akaendelea kunitukana,Na Matusi Juu.,Eti anasema ninamforced sana .Sasa Leo asubuhi Nimeongea na Mwanasheria Wangu Kuhusu hili Jambo Amesema yeye ananickiliza Mteja Wake,.Kitu Kilichofanya nilete Uzi huu Hapa Ni kwamba, Uwezo Wa Kumpata na Kumchukulia Hatua Ninao , Sema naona Nitapoteza Muda wa Kutafuta Hela,.Ictoshe huyo Mtoto Wa JF ni Kajamba NaNi, WANAJAMVI NIMFANYAJE MTU WA NAMNA HII , USHAURI NITASHUKURU ILI NICJE NIKAFANYA JAMBO BAADAE NIKAMUONEA HURUMA...

Wewee na wee huna tofauti nae.yaani huyoo ndo anasumbua akili yako.dah kweli watu tumeubwa tofauti.
Achana nae.Mijitu ya JF loh inaboa ajabu mie pia nilikutana na limwanaume la JF likaniboa ajabu nikalichana live achana na mie.
 
Back
Top Bottom