Nimfanye nini huyu kidudu mtu?

Nimfanye nini huyu kidudu mtu?

Naamini Mwanaume Aliyetimia Na Mwenye Vichwa Viwili Vinavyofanya Kazi Ipasavyo Huwezi Kubishana au Kutoleana kauli Na Mwanamke Ambaye Ni KIUMBE DHAIFU cku Zote, Ningependa Evelyn Salt ufahamu Kwamba Cpo Hapa JAMVINI Kufurahisha GENGE ila Nipo Hapa Ili Kuweza Kutoa Mchango Wangu Na Mawazo Au Hata Ikiwezekana uwezo wa kiFEDHA hapa Jamvi Kwa Wanajamvi Na Pia Mimi Niweze Kuchangia Na kutoa Ushauri Kwa Wanajamvi Wengine Pia . Na Sipo Hapa Kulumbana, Kama Unaona Thread Yangu Imekuboa Unaweza Ukakaa Kimya Kwani Naamin Hutapungukiwa Na Kitu, Ila Fahamu Kwamba Hili Jambo Lililonipata C o Kama Nimelichukulia kirahis,.MIMI ni MTU ninaye JIHESHIMU na Mwenye HESHIMA na Zangu na pia ninaye HESHIMIKA mbele Ya Jamii ..Jifunze Kuwa Na Smart Mind..Hope Utakuwa Umenielewa. Evelyn Salt
yani jina lako na hivi unavopost humu!VINAFANANAJEEEEEEEEE!
 
huu ni ujinga tena uliokithiri sana haingii akilini kama JF ni sehemu ya kutongozana na kufanya ujinga. JFni sehemu ya kueleimshana na kusaidiana pale inapowezekana ssna kama hili jukwaa mnalibadilisha kuwa sehemu ya kutongozana hapo hapo unasema ni mheshimiwa naona hata huo uheshimiwa haukufai kabisa
 
Asalaam Alleykhu Wale ndugu Zangu na Bwana Asifiwe , Hope Wanajamvi wote mpo poa.,
Kuna Demu nilikutana nae kwenye mtandao huu wa J.F juzi juzi tuu hapa., Nikaona ananiPM Kwa Sana Nikaona Kama AnaInterest Na mm, Basi 2kachat kwa JF mpk ikafkia hatua 2kapeana Namba,..Kiufupi Kwa Jinsi nilivyomuona ni mwanamke mwenye uelewa mdogo alafu naona Bdo anaelement za KISWAHILI , kama Mizinga Ya Vocha Alafu bora ingekuwa Mizinga Mikubwa Eti NAomba Nirushie Vocha Ya Mia 5 Kwa Simu, Kwa Kuwa Mimi MOTTO wangu ni kutokuonga nikamchomolea siku ya kwanza aliponipiga Mzinga Huo,..2kaendelea kuchat ikafka muda wa Kumeet, Mtoto Nikamwambia 2mit Mlimani City Pale Chicken Heart, akasema Poa, sasa Jana Mimi Npo Na Goons Yangu maeneo yale ananipigia Simu Anakuja ila kuna sehemu kapitia, Nikamchana kwmb c o kesi Mimi bdo nipo kwani kikao changu ni kikubwa , nikamweleza Majeshi nanyanyua saa Sita, Ilipofka Mida ya saa2 akani2mia Txt Kwamba ameghairi kuja cz kuna mambo anafanya kwaiyo 2fanye cku nyingine, Nikamwambia Mbona unakuwa Mswahili Namna Hiyo, Basi Nilipomwambia Hivyo akaanza kuporomosha lugha za kwao Tandale kwa Tumbo Plus matusi Kibao Yaani.,Mimi nikamwambia hawezi kushinda na mtu mwenye hela na ambaye yupo kwenye system ambaye ni mimi, Akaendelea kunitukana,Na Matusi Juu.,Eti anasema ninamforced sana .Sasa Leo asubuhi Nimeongea na Mwanasheria Wangu Kuhusu hili Jambo Amesema yeye ananickiliza Mteja Wake,.Kitu Kilichofanya nilete Uzi huu Hapa Ni kwamba, Uwezo Wa Kumpata na Kumchukulia Hatua Ninao , Sema naona Nitapoteza Muda wa Kutafuta Hela,.Ictoshe huyo Mtoto Wa JF ni Kajamba NaNi, WANAJAMVI NIMFANYAJE MTU WA NAMNA HII , USHAURI NITASHUKURU ILI NICJE NIKAFANYA JAMBO BAADAE NIKAMUONEA HURUMA...

Kama ulivyoandika ndivyo ulivyo basi unastahili yaliyokupata. Ningekuwa tayari kumsaidia huyu dada endapo ungechukua hatua za kisheria
 
Nashukuru Wakubwa Na Wadogo Wenzangu Kwa kuweza Kunipa USHAURI, Pia Na Wale Ambao Wameioppose Kwa namna Moja au Nyingne kama Evelyn Salt ambaye nahisi na yy hana Tofauti na huyu dada niliyekorofshana nae , Lakini Nataka Niwaambie Hiki Ki2 Kimenitokea Kweli Na wala sio story ya kutunga, Cjashindwa Kukaa mimi na MWANASHERIA WANGU hapana, Ila Nikaona NIpate MAWAZO ya W2 wengi kwani naamin umoja ni NGUVU , UTENGANO ni UDHAIFU...Regards To y'all

Your case is dismissed.
We need evidence,

Ushahidi kama kweli kakutukana.
Tusi gani kakutukana?
Nani alisikia wakati akikutukana? Na wewe ulijibu nini alipokuwa akikutukana?
Je una maseji au record ya matusi?

Wengine tulisomea law kidogo, so kwa vile unauza miguu ya kuku ktk kibadanda cha chips, utaonekana umetunga au wewe ndio ulianza kumtukana na akakurudishia.
 
Asalaam Alleykhu Wale ndugu Zangu na Bwana Asifiwe , Hope Wanajamvi wote mpo poa.,
Kuna Demu nilikutana nae kwenye mtandao huu wa J.F juzi juzi tuu hapa., Nikaona ananiPM Kwa Sana Nikaona Kama AnaInterest Na mm, Basi 2kachat kwa JF mpk ikafkia hatua 2kapeana Namba,..Kiufupi Kwa Jinsi nilivyomuona ni mwanamke mwenye uelewa mdogo alafu naona Bdo anaelement za KISWAHILI , kama Mizinga Ya Vocha Alafu bora ingekuwa Mizinga Mikubwa Eti NAomba Nirushie Vocha Ya Mia 5 Kwa Simu, Kwa Kuwa Mimi MOTTO wangu ni kutokuonga nikamchomolea siku ya kwanza aliponipiga Mzinga Huo,..2kaendelea kuchat ikafka muda wa Kumeet, Mtoto Nikamwambia 2mit Mlimani City Pale Chicken Heart, akasema Poa, sasa Jana Mimi Npo Na Goons Yangu maeneo yale ananipigia Simu Anakuja ila kuna sehemu kapitia, Nikamchana kwmb c o kesi Mimi bdo nipo kwani kikao changu ni kikubwa , nikamweleza Majeshi nanyanyua saa Sita, Ilipofka Mida ya saa2 akani2mia Txt Kwamba ameghairi kuja cz kuna mambo anafanya kwaiyo 2fanye cku nyingine, Nikamwambia Mbona unakuwa Mswahili Namna Hiyo, Basi Nilipomwambia Hivyo akaanza kuporomosha lugha za kwao Tandale kwa Tumbo Plus matusi Kibao Yaani.,Mimi nikamwambia hawezi kushinda na mtu mwenye hela na ambaye yupo kwenye system ambaye ni mimi, Akaendelea kunitukana,Na Matusi Juu.,Eti anasema ninamforced sana .Sasa Leo asubuhi Nimeongea na Mwanasheria Wangu Kuhusu hili Jambo Amesema yeye ananickiliza Mteja Wake,.Kitu Kilichofanya nilete Uzi huu Hapa Ni kwamba, Uwezo Wa Kumpata na Kumchukulia Hatua Ninao , Sema naona Nitapoteza Muda wa Kutafuta Hela,.Ictoshe huyo Mtoto Wa JF ni Kajamba NaNi, WANAJAMVI NIMFANYAJE MTU WA NAMNA HII , USHAURI NITASHUKURU ILI NICJE NIKAFANYA JAMBO BAADAE NIKAMUONEA HURUMA...
wewe ni mshamba sana, ati mwanasheria wako, mwanasheria wako atakusaidia nini? kama amekuporomoshea matusi kwani hilo si kosa la jinai? ulitakiwa uende polisi. mimi ni mwanasheria na huwa nashangaa sana watu wanavyoringia "mwanasheria wangu"....hahaha, utumbo mtupu. kwa kifupi, kumpata uyo demu ni rahisi kama ameandika msg ndo kabisaa utapata print out toka shirika la simu. kama alikuwa anaongea matusi tu sidhani kama kuna ushahidi wa yale aliyoyaongea kwasababu sina uyakika kama kuna print out za voice. pili, kuporomosha matusi hivyo ni kosa la jinai, huwezi kumshitaki wewe, wewe utapeleka suala polisi polisi watamkamata watapeleka kwa wanasheria wa serikali watakaompeleka mahakamani na wewe utaitwa kama shahidi tu, hivyo mwanasheria wako hahusiki kabisa na hatapata hata nafasi ya kuja court. kama ukifungua civil case, utakuwa unadai nini hapa kwa kutukanana na demu kwenye simu? alafu iyo tabia kuwa uko kwenye system unaringishia mademu, wewe una tabia za kidemu ndo maana unashindana na mademu wewe, achana na videmu vya mbagala ivyo tafuta maisha..
 
pole na ukome,ngoja nikuambie kitu, huyo dada kama ungemtumia ile vocha ya 500 alokuomba mngeonana bila shida, ila kwa kua uligoma basi alishakuona wewe mbulula hata mkikutana hatapata soda,.ila kama ungemtumia ungekuta kashafika,.yeye alikua money oriented hakuna kingine alichokitaka kwako,. we samehe kibinadamu then achana nae,.kama huliamini hili jaribu kutafuta namba nyingine, wasiliana nae jidai we mtu mwingine then rusha vocha siku ya kwanza ya pili mwambie muonane ka hutamuona, hao ndo mabint wa sikuhizi ..
 
Nitumie basi hata ya kunitakia siku njema?...nahisi pm box yangu ni miongoni mwa zile zilizokaukiwa PMs....saa zingine najitumia mwenyewe

tatizo lako mchaguzi, pm zote hizo bado tu unalalamika huna swaga
 
Nitumie basi hata ya kunitakia siku njema?...nahisi pm box yangu ni miongoni mwa zile zilizokaukiwa PMs....saa zingine najitumia mwenyewe

hahaha basi nahici kuna snow wengi humu ndani wengine wanakupokelea pm tu
 
Naamini Mwanaume Aliyetimia Na Mwenye Vichwa Viwili Vinavyofanya Kazi Ipasavyo Huwezi Kubishana au Kutoleana kauli Na Mwanamke Ambaye Ni KIUMBE DHAIFU cku Zote, Ningependa Evelyn Salt ufahamu Kwamba Cpo Hapa JAMVINI Kufurahisha GENGE ila Nipo Hapa Ili Kuweza Kutoa Mchango Wangu Na Mawazo Au Hata Ikiwezekana uwezo wa kiFEDHA hapa Jamvi Kwa Wanajamvi Na Pia Mimi Niweze Kuchangia Na kutoa Ushauri Kwa Wanajamvi Wengine Pia . Na Sipo Hapa Kulumbana, Kama Unaona Thread Yangu Imekuboa Unaweza Ukakaa Kimya Kwani Naamin Hutapungukiwa Na Kitu, Ila Fahamu Kwamba Hili Jambo Lililonipata C o Kama Nimelichukulia kirahis,.MIMI ni MTU ninaye JIHESHIMU na Mwenye HESHIMA na Zangu na pia ninaye HESHIMIKA mbele Ya Jamii ..Jifunze Kuwa Na Smart Mind..Hope Utakuwa Umenielewa. Evelyn Salt

Ma teenager wakikutana issue sana. Sasa hapa ndo umeandika nini? Naona huyo binti anafadhali kuliko wewe.
 
Asalaam Alleykhu Wale ndugu Zangu na Bwana Asifiwe , Hope Wanajamvi wote mpo poa.,
Kuna Demu nilikutana nae kwenye mtandao huu wa J.F juzi juzi tuu hapa., Nikaona ananiPM Kwa Sana Nikaona Kama AnaInterest Na mm, Basi 2kachat kwa JF mpk ikafkia hatua 2kapeana Namba,..Kiufupi Kwa Jinsi nilivyomuona ni mwanamke mwenye uelewa mdogo alafu naona Bdo anaelement za KISWAHILI , kama Mizinga Ya Vocha Alafu bora ingekuwa Mizinga Mikubwa Eti NAomba Nirushie Vocha Ya Mia 5 Kwa Simu, Kwa Kuwa Mimi MOTTO wangu ni kutokuonga nikamchomolea siku ya kwanza aliponipiga Mzinga Huo,..2kaendelea kuchat ikafka muda wa Kumeet, Mtoto Nikamwambia 2mit Mlimani City Pale Chicken Heart, akasema Poa, sasa Jana Mimi Npo Na Goons Yangu maeneo yale ananipigia Simu Anakuja ila kuna sehemu kapitia, Nikamchana kwmb c o kesi Mimi bdo nipo kwani kikao changu ni kikubwa , nikamweleza Majeshi nanyanyua saa Sita, Ilipofka Mida ya saa2 akani2mia Txt Kwamba ameghairi kuja cz kuna mambo anafanya kwaiyo 2fanye cku nyingine, Nikamwambia Mbona unakuwa Mswahili Namna Hiyo, Basi Nilipomwambia Hivyo akaanza kuporomosha lugha za kwao Tandale kwa Tumbo Plus matusi Kibao Yaani.,Mimi nikamwambia hawezi kushinda na mtu mwenye hela na ambaye yupo kwenye system ambaye ni mimi, Akaendelea kunitukana,Na Matusi Juu.,Eti anasema ninamforced sana .Sasa Leo asubuhi Nimeongea na Mwanasheria Wangu Kuhusu hili Jambo Amesema yeye ananickiliza Mteja Wake,.Kitu Kilichofanya nilete Uzi huu Hapa Ni kwamba, Uwezo Wa Kumpata na Kumchukulia Hatua Ninao , Sema naona Nitapoteza Muda wa Kutafuta Hela,.Ictoshe huyo Mtoto Wa JF ni Kajamba NaNi, WANAJAMVI NIMFANYAJE MTU WA NAMNA HII , USHAURI NITASHUKURU ILI NICJE NIKAFANYA JAMBO BAADAE NIKAMUONEA HURUMA...

Ha ha ha haaaaaaaa! Yaani sehemu zote sijasoma isipokuwa hapo penye red. Nimecheka sana! Japo mie ni mpinzani wa sera za kinadada kuhongwa, WA KISHUA wewe noma, mzinga wa vocha ya shilingi mia 5 unachomolea! Kama ambavyo umemuona binti mswazi wa Tandale na yeye amekuona hivyo hivyo maana alikujaribu kwa mzinga wa kiwango cha chini kabisa ukashindwa kuutimiza! Lol!
amu mdogo wangu unakumbuka maneno yangu sasa? Kaza buti katika kutafuta zako utajakutana na akina WA KISHUA macho yakutoke!
 
Last edited by a moderator:
Kwa Bahati Nzuri Hizo Process Ulizonipa hata MWANASHERIA WANGU pia alishaniambia kuhusiana na hicho unachosema, Hata Hivyo Nashukuru Sana ndugu Hute Kwa Ushauri wko wa ziada, NIMEAMUA KUMSAMEHE HUYU KIDUDU MTU cz nimeona NITTAPOTEZA MUDA WANGU BURE kwa w2 WENYE UELEWA MDOGO KAMA HUYU..!!!!
 
We mwenyewe hovyo hovyo tu misifa ya kijiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinga, pumbafu
 
Dada hao yo yo yo watsup sina mda nao kama 500 anafikiria kuita mwanasheria anaweza kumtunza mke kweli msalimie mdogo wako

Back
Top Bottom