Nimfanye nini huyu kidudu mtu?

Nimfanye nini huyu kidudu mtu?

kwanini msimalizane huko huko kwenye PM na simu zenu........ naona na wewe utoto unakusumbua.
by the way usije ukakuta ilikuwa unawasiliana na njemba ikaona aibu kuonana na wewe face to face.

upo? ulipotea wewe.
Back to topic,hili nalo neno. Km vp ili kukata mzizi wa fitina ataje tu id yake.
 
Naamini Mwanaume Aliyetimia Na Mwenye Vichwa Viwili Vinavyofanya Kazi Ipasavyo Huwezi Kubishana au Kutoleana kauli Na Mwanamke Ambaye Ni KIUMBE DHAIFU cku Zote, Ningependa Evelyn Salt ufahamu Kwamba Cpo Hapa JAMVINI Kufurahisha GENGE ila Nipo Hapa Ili Kuweza Kutoa Mchango Wangu Na Mawazo Au Hata Ikiwezekana uwezo wa kiFEDHA hapa Jamvi Kwa Wanajamvi Na Pia Mimi Niweze Kuchangia Na kutoa Ushauri Kwa Wanajamvi Wengine Pia . Na Sipo Hapa Kulumbana, Kama Unaona Thread Yangu Imekuboa Unaweza Ukakaa Kimya Kwani Naamin Hutapungukiwa Na Kitu, Ila Fahamu Kwamba Hili Jambo Lililonipata C o Kama Nimelichukulia kirahis,.MIMI ni MTU ninaye JIHESHIMU na Mwenye HESHIMA na Zangu na pia ninaye HESHIMIKA mbele Ya Jamii ..Jifunze Kuwa Na Smart Mind..Hope Utakuwa Umenielewa. Evelyn Salt

Acha mikwara yako ya kitoto. Umeshaichangia JF au unaleta maneno mengi hapa? Kama vipi anayechangisha mchango wa kuisaidia JF aitwe sasa hivi utoe laki tatu (300,000) ya faster.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ahahahahah..ndui inatokana na sindano (si unajua uswazi hawapigi mizinga wanakudunga sindano)...sasa wajanja tukaiunganisha na sindano ya ndui...

Kaka kumbe mizinga inaitwa ndui? Mmmh, sipati picha mzinga wa gari (heh, japo ka-fortuner jamani kwa mupenzi) inaitwaje? Itakuwa arv nahisi, lol
 
Asalaam Alleykhu Wale ndugu Zangu na Bwana Asifiwe , Hope Wanajamvi wote mpo poa.,
Kuna Demu nilikutana nae kwenye mtandao huu wa J.F juzi juzi tuu hapa., Nikaona ananiPM Kwa Sana Nikaona Kama AnaInterest Na mm, Basi 2kachat kwa JF mpk ikafkia hatua 2kapeana Namba,..Kiufupi Kwa Jinsi nilivyomuona ni mwanamke mwenye uelewa mdogo alafu naona Bdo anaelement za KISWAHILI , kama Mizinga Ya Vocha Alafu bora ingekuwa Mizinga Mikubwa Eti NAomba Nirushie Vocha Ya Mia 5 Kwa Simu, Kwa Kuwa Mimi MOTTO wangu ni kutokuonga nikamchomolea siku ya kwanza aliponipiga Mzinga Huo,..2kaendelea kuchat ikafka muda wa Kumeet, Mtoto Nikamwambia 2mit Mlimani City Pale Chicken Heart, akasema Poa, sasa Jana Mimi Npo Na Goons Yangu maeneo yale ananipigia Simu Anakuja ila kuna sehemu kapitia, Nikamchana kwmb c o kesi Mimi bdo nipo kwani kikao changu ni kikubwa , nikamweleza Majeshi nanyanyua saa Sita, Ilipofka Mida ya saa2 akani2mia Txt Kwamba ameghairi kuja cz kuna mambo anafanya kwaiyo 2fanye cku nyingine, Nikamwambia Mbona unakuwa Mswahili Namna Hiyo, Basi Nilipomwambia Hivyo akaanza kuporomosha lugha za kwao Tandale kwa Tumbo Plus matusi Kibao Yaani.,Mimi nikamwambia hawezi kushinda na mtu mwenye hela na ambaye yupo kwenye system ambaye ni mimi, Akaendelea kunitukana,Na Matusi Juu.,Eti anasema ninamforced sana .Sasa Leo asubuhi Nimeongea na Mwanasheria Wangu Kuhusu hili Jambo Amesema yeye ananickiliza Mteja Wake,.Kitu Kilichofanya nilete Uzi huu Hapa Ni kwamba, Uwezo Wa Kumpata na Kumchukulia Hatua Ninao , Sema naona Nitapoteza Muda wa Kutafuta Hela,.Ictoshe huyo Mtoto Wa JF ni Kajamba NaNi, WANAJAMVI NIMFANYAJE MTU WA NAMNA HII , USHAURI NITASHUKURU ILI NICJE NIKAFANYA JAMBO BAADAE NIKAMUONEA HURUMA...

Ila tuache utani wa kishua, yaani kweli ume-loose control ya mchezo mdogo kama huu?? hata sitaki kuamini.
Samahani naomba kufahamu umri wako(najua wewe ni mwanaume ndio maana nimeona nikunga'ate sikio kwa njia ya kuuliza umri wako, ila sina haja ya kufahamu umri wako, nahisi utanielewa wa kishua), Ahsante, na Pole sana!
 
Naamini Mwanaume Aliyetimia Na Mwenye Vichwa Viwili Vinavyofanya Kazi Ipasavyo Huwezi Kubishana au Kutoleana kauli Na Mwanamke Ambaye Ni KIUMBE DHAIFU cku Zote, Ningependa Evelyn Salt ufahamu Kwamba Cpo Hapa JAMVINI Kufurahisha GENGE ila Nipo Hapa Ili Kuweza Kutoa Mchango Wangu Na Mawazo Au Hata Ikiwezekana uwezo wa kiFEDHA hapa Jamvi Kwa Wanajamvi Na Pia Mimi Niweze Kuchangia Na kutoa Ushauri Kwa Wanajamvi Wengine Pia . Na Sipo Hapa Kulumbana, Kama Unaona Thread Yangu Imekuboa Unaweza Ukakaa Kimya Kwani Naamin Hutapungukiwa Na Kitu, Ila Fahamu Kwamba Hili Jambo Lililonipata C o Kama Nimelichukulia kirahis,.MIMI ni MTU ninaye JIHESHIMU na Mwenye HESHIMA na Zangu na pia ninaye HESHIMIKA mbele Ya Jamii ..Jifunze Kuwa Na Smart Mind..Hope Utakuwa Umenielewa. Evelyn Salt

Still rubbish!!!
 
inaelekea alikutukana sana mpaka unataka kumchukulia sheria...pole sana mpotezee endelea kutafuta mahela
 
kazi kweli.yaani kwa heshima zote hizo unazozionesha...unatafuta 'kimwana' kwenye mtandao? acha hizo...umekutana na wa ngapi huko kote ulikosoma, kazini, nk. ambao ungepata wa kukufaa? pay the price of your carelessness! wala usimfuatilie huyo 'kajamba nani wako'.endelea na mambo yako.
 
Sijakusameheee bana adi unitumie tigo ya Jeroooooo teh teh teh.

Haahaahaaa! Nakutumia sasa hivi. Ole wako na wewe nikuite Mlimani City halafu usije. LOL!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mzee CV yako inaonyesha ni kubwa, kamwe usijaribu kui-abuse. Maadamu Mungu amekujalia hivyo, fanya mambo makubwa yanayofanana na wewe,..., vinginevyo utakuja kustukia unapata laana kutoka kwa Mungu. Most important, wapende watu but with greater caution,..., be very careful with the way you deal with them!
Kaunga wakti tuko shule kwenye lile somo la fasihi post kama hii tulikuwa tunaaitaje?
hebu muulize Kongosho au The Boss nahis nanza kusahau tamathali za semi hapa
 
Last edited by a moderator:
This story is too good to be true...i bet this kid is only bragging here about himself and boasting for nothing..
Hivi kweli yupo binti anayetumia mtandao mpaka akaweka kifurushi atakupiga ndui ya jero???.....acha mambo hizo bwana mdogo....Na hata kwenye maisha halisi kama unapata mademu basi wana kazi hao mademu zako!!!......i don't buy this nonsense.....
mamangu alitoa kichwa bana!
ahahahahhahahhahahha chezea pacha wa mimi wewe!patia makavu hapa kwa niaba yangu!
 
Back
Top Bottom