Asalaam Alleykhu Wale ndugu Zangu na Bwana Asifiwe , Hope Wanajamvi wote mpo poa.,
Kuna Demu nilikutana nae kwenye mtandao huu wa J.F juzi juzi tuu hapa., Nikaona ananiPM Kwa Sana Nikaona Kama AnaInterest Na mm, Basi 2kachat kwa JF mpk ikafkia hatua 2kapeana Namba,..Kiufupi Kwa Jinsi nilivyomuona ni mwanamke mwenye uelewa mdogo alafu naona Bdo anaelement za KISWAHILI , kama Mizinga Ya Vocha Alafu bora ingekuwa Mizinga Mikubwa Eti NAomba Nirushie Vocha Ya Mia 5 Kwa Simu, Kwa Kuwa Mimi MOTTO wangu ni kutokuonga nikamchomolea siku ya kwanza aliponipiga Mzinga Huo,..2kaendelea kuchat ikafka muda wa Kumeet, Mtoto Nikamwambia 2mit Mlimani City Pale Chicken Heart, akasema Poa, sasa Jana Mimi Npo Na Goons Yangu maeneo yale ananipigia Simu Anakuja ila kuna sehemu kapitia, Nikamchana kwmb c o kesi Mimi bdo nipo kwani kikao changu ni kikubwa , nikamweleza Majeshi nanyanyua saa Sita, Ilipofka Mida ya saa2 akani2mia Txt Kwamba ameghairi kuja cz kuna mambo anafanya kwaiyo 2fanye cku nyingine, Nikamwambia Mbona unakuwa Mswahili Namna Hiyo, Basi Nilipomwambia Hivyo akaanza kuporomosha lugha za kwao Tandale kwa Tumbo Plus matusi Kibao Yaani.,Mimi nikamwambia hawezi kushinda na mtu mwenye hela na ambaye yupo kwenye system ambaye ni mimi, Akaendelea kunitukana,Na Matusi Juu.,Eti anasema ninamforced sana .Sasa Leo asubuhi Nimeongea na Mwanasheria Wangu Kuhusu hili Jambo Amesema yeye ananickiliza Mteja Wake,.Kitu Kilichofanya nilete Uzi huu Hapa Ni kwamba, Uwezo Wa Kumpata na Kumchukulia Hatua Ninao , Sema naona Nitapoteza Muda wa Kutafuta Hela,.Ictoshe huyo Mtoto Wa JF ni Kajamba NaNi, WANAJAMVI NIMFANYAJE MTU WA NAMNA HII , USHAURI NITASHUKURU ILI NICJE NIKAFANYA JAMBO BAADAE NIKAMUONEA HURUMA...