Nimfanyaje mke wangu! Kwa tabia hii?

Nimfanyaje mke wangu! Kwa tabia hii?

inawezekana anampelekea mchepuko wake.....kukaa na mwanamke inatakiwa akili ya ziada....ningekuwa mimi ndiyo wewe ningewagonga hao rafiki zake kwanza halafu wangenipa siri zake
 
mkeo ana li msela lingine na hao rafiki zake wanajua,

-anachokifanya ni kujitahidi kuwaweka karibu rafiki zake ili wasikupe siri zake,

-niamini mimi.
Hali imegeuka kuwa mbaya zaidi kwenye bongo ya mtoa mada huko.
 
Wangekuwa wanakuja weekend sawa, ila hizo siku mbili ndo wanapumzika tu zingine zoote kwako.
Mwambie mkeo hili si sawa kabsa ikiwa anashindwa namna ya kuwaambia .mpe ww mbinu za kuwaambia.
 
Yani hapa ndo naposhangaa mtu umemuoa mnalal kitanda kimoja kwann uumie rohoni mwambie mimi sitak hiki na hiki wanaume wengne mpoje lakini Be a man!
 
Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!
Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea!

Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya zamani, hii sehemu aliunganishiwa na marafiki zake wa karibu kwa sababu na wao wanaishi hapo, ni nyumba nzuri.
Tulivyoamia mambo yalikuwa poa sana, bahati nzuri wote ni watumishi na tunakisehemu cha kufanya ujasiriamali.

Hao marafiki zake wawili ni watumishi pia, na mara nyingi mke wangu ndio huwa wakwanza kuwahi kurudi nyumbani kabla yao!
Ishu inakuja hapa, kwa takribani kama miezi 3 hivi naona wife ndio amegeuka kama mpishi wao! Kila akipika ni lazima wawe na share kwenye msosi wake, kwa wanawake wanaojitegemea kabisa! Na kila mtu ana nyumbani kwake.

Nilijiuliza wife huwa anapata msaada gani kwa hao wadada hadi awapikie kila siku nikakosa jibu.

Wao kupika ni week end tu! Na hawawezi kuleta msosi kwetu kama wife anavyowapelekea, she use her own money to buy all staffs. Bahati nzuri she never ask any money for food, due to some agreement, pesa yangu ikuze mtaji na kuendeleza ujenzi na yake ishughulike na mambo ya ndani yote ikiwemo mavazi na chakula.
Ishu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop!
Binafsi naona kama hili swala halijakaa vyema wakuu, Tushauriane!!
mgegede mmoja na wife ajue yaan atawatimua wote haooo! au jifanye upo karibu nao sana kabla ya mida ya jion uwe unamuuliza wife kama watakuja saa ngap
 
Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!
Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea!

Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya zamani, hii sehemu aliunganishiwa na marafiki zake wa karibu kwa sababu na wao wanaishi hapo, ni nyumba nzuri.
Tulivyoamia mambo yalikuwa poa sana, bahati nzuri wote ni watumishi na tunakisehemu cha kufanya ujasiriamali.

Hao marafiki zake wawili ni watumishi pia, na mara nyingi mke wangu ndio huwa wakwanza kuwahi kurudi nyumbani kabla yao!
Ishu inakuja hapa, kwa takribani kama miezi 3 hivi naona wife ndio amegeuka kama mpishi wao! Kila akipika ni lazima wawe na share kwenye msosi wake, kwa wanawake wanaojitegemea kabisa! Na kila mtu ana nyumbani kwake.

Nilijiuliza wife huwa anapata msaada gani kwa hao wadada hadi awapikie kila siku nikakosa jibu.

Wao kupika ni week end tu! Na hawawezi kuleta msosi kwetu kama wife anavyowapelekea, she use her own money to buy all staffs. Bahati nzuri she never ask any money for food, due to some agreement, pesa yangu ikuze mtaji na kuendeleza ujenzi na yake ishughulike na mambo ya ndani yote ikiwemo mavazi na chakula.
Ishu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop!
Binafsi naona kama hili swala halijakaa vyema wakuu, Tushauriane!!
Hapo mimi naona bora mtafute jumba kubwa mkae na hao wanawake as a familly nafikir kitakachomtokea atajifunza
 
pole
 
Back
Top Bottom