Nimezikatilia mbali na safari imekufa

Kwanza hongera kwa hawa wachache niliowanukuu kwa kutoa pongezi, kwa kuwa wanarambua umuhimu wa kiongozi wa familia kuwa imara katika maamuzi na kuchukua hatua pasipo kusita.

Tukumbuke, familia ndiyo Taasisi ya kwanza katika maisha ya binadamu kijamii. Hiyo Taasisi isipokuwa imara na jamii nzima inakuwa hovyo hovyo. Kiongozi wa familia akiwa legelege, hata akipewa madaraka atakuwa hivyo hivyo. Huyo mama, kama ana madaraka katika ajira, hakika anamdanganya pia mwajiri wake na anaowasimamia. Kwa kifupi ananajisi pia madaraka yake kama amfanyavyo mme wake.

Niwaombe pia mtoe pongezi, kama hizo, kwa viongozi wa Serikali iliyoko sasa madarajani inavyowapa vibao vya uhakika wanaoenda kinyume na mila na tamaduni zetu, kama vile:
Wazembe;
Wahujumu uchumi;
Mafisadi;
Waropokaji;
Wasio heshimu utawala;
Wasio jiheshimu;
Wanafiki;
Wazushi;
Wambea;
Wanaotafuta umaarufu wa kisiasa kwa njia za kitoto;
Na kadhalika.

Naamini mmenielewa. Hivyo hao, sisi mashabiki na wafuasi, tusipige kelele wanaposhushiwa vibao.

TAFAKARI CHUKUA HATU

Mkuu " umempa Kofi safi sana... Hawa viumbe ukiwasemesha vyema wanaweza kukung'oa shingo ......

Yaani ni uvumilivu tuu la sivyo ni mikono ya damu

Muda mwingine lazima maamuzi magumu yachukuliwe, kelebu kalaza papuchi ndani..!!..

Lazima urudishe heshima kama imeanza kupotea

Wanawake wana vtuko vingi sana wakati mwingine ni bora lawama kulko hasara

Hahaha bora ulivyompa hiyo kelbu umeiokoa papuchi na msoto,hana adabu kabisa huyoo loh!!!
 
Huyu ndio yule alie kuwekea siafu kwenye nguo na wakati unajifuta dushe ukang'atwa.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Na mbaya zaidi ulipo amka asubuhi ukakuta dudeshe limejaa mchanga, kumbe alikupa dera la zamani tena chafu ili ujifutie baada ya mgegedrooo.......[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ujue ana mwanaume huko nje anayependa hali hiyo hivyo hutumika kama asset sasa umeenda haraka ungejua mengi.
 
Ila wengine huweka mzigo wa shanga ili kutengeneza kiuno cha nyigu[emoji1]
 
Dah hz mada na wakati huu wa likizo jaman mbona hatari xana
 
upo sawa mkuu
 
mkuu yawache hayo ni makaburi ya kale
 
wanaume kazi ipo maana hiyo kelbo bado haijatosha kwa muonekano wa hiyo skendo katika ndoa, endelea kutafakari juu ya hiyo ndoa
 
mkubwa umezikata zote? au zile mbili umebakiza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…