zomba hapo kwenye bold aise mbona unaniwekea status ambayo sipo
policcm ndo waanzisha fujo bana si wanajulikana kwa kusema marehem aliangukiwa na kitu kizito au alipigwa na kitu kizito kinachorushwa
Sasa
zomba kama mtu amenyanyua mikono juu na
hana silaha kumpiga na bomu la machozi au risasi ni ya nini
Maana ashakubali yaishe au kwenye mafunzo yao hakuna msamiati huo kuwa mtu ashanyanyua mikono juu