Baada ya kuwamis wana jf kwa siku 31, sasa nimeujua uchungu wa BAN, hasa ikukute kwa kuwatukana bodi ya mikopo ukidhani wanakusikia. Ni kuomba radhi tu kwa sasa, maana body washafunguka na kitu kimetema. No matusi tena! (bt nahis hii thread haijakaa mahali pake, hv wafungwa wa BAN, huanzia wapi wakirudi?
duh pole ila jifunze kurespond kwa hoja na si lugha za matusi ama kejel smtimes its better kusoma 2 bila kucontribute
Mmmmh!! Ukipigwa ban na mimi naenda kuchafua hali ya hewa kule jukwaa la siasa ili nikufuate jela.
Ha ha ha haaah!! Mimi nilidhani gereza la JF ni tofauti na haya ya mtaani?? Kumbe hakufai najua ni full kujichanganya bila kujali jinsia.Huyu mwenzako atapelekwa gereza la wanawake.... Utaishia kwenda kukutana na Mapopo!
Mmmmh!! Ukipigwa ban na mimi naenda kuchafua hali ya hewa kule jukwaa la siasa ili nikufuate jela.
Ha ha ha haaah!! Mimi nilidhani gereza la JF ni tofauti na haya ya mtaani?? Kumbe hakufai najua ni full kujichanganya bila kujali jinsia.
ruttashobolwa kakuudhi nini? Au umemfumania?
Huyu mwenzako atapelekwa gereza la wanawake.... Utaishia kwenda kukutana na Mapopo!
nakuunga mkono kiongozi, mie nilipigwa ban ya 7days yaani unakaa unasoma tu post kwa mbaaaali huwezi changia dah inauma sana!
Acha Kubanabana wewe.
Acha kutisha wenzako.