Nimeweza kuacha pombe. Miaka 4 sasa

Mara ya mwisho kunywa alcohol (katika pombe) ilikuwa Champagne ya kukaribisha mwaka mpya January 1 2024.

So I have been alcohol free for two years now.
That's cool, I'm proud of yah

Maana saying no to a thing, ambayo uko nayo around is not for everyone.
 
HONGERA...Mimi hadi viwanda vya pombe vifungwe vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…