Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 14,261
- 13,565
Wewe ni mchaga wa wapi ? Sanya Juu??mb
mbona sisi wachaga tunaweza.
Wewe ni mchaga wa wapi ? Sanya Juu??mb
mbona sisi wachaga tunaweza.
MACHAME MOJA ARIFUWewe ni mchaga wa wapi ? Sanya Juu??
Kwakua babaake anayo makoti mengi sio?🤣🤣🤣Nimegundua Mwanetu wewe ni wakishua.
Maji ya Kilimanjaro yamepoteza radha na yule alikua kichwa kweli achana na wachaga wale wauza karanga na kushona viatu..mb
mbona sisi wachaga tunaweza.
UKIJA MOSHI HAUTAKANA NA HAYO MAJI FEKI MNAYOUZIWA MIKOANIMaji ya Kilimanjaro yamepoteza radha na yule alikua kichwa kweli achana na wachaga wale wauza karanga na kushona viatu..
labda alikua mtu wako wewe na samia. 🤣 🤣Nimefarijika sana kwa maneno haya, ya rais wetu kuwafariji wafiwa kufuatia kifo cha bonge, ila ningefarijika zaidi, kama Rais wetu, pia angetoa statment yenye maneno ya faraja kama haya, kwenye lile tukio letu lile!.
Mimi nilimuanzishia nyuzi mbili humu
1. Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?
2. Kumbe Bonge wa Zimbabwe ni Mtu wa Pisi Kali. Licha ya Kuonekana Tipwa Tipwa, ni Mtu wa Kazi na Anapiga Kazi Kweli Kweli kwenye mambo yetu yale
Japo huyu Bonge, hakuwa Mtanzania, lakini alikuwa rafiki kipenzi na mtu wetu, rafiki na mtu wetu ni rafiki yetu, mtu wetu akifiwa na rafiki yake ni sisi tumefiwa na rafiki yetu!.
Nichukue fursa hii kutoa pole kwa mtu wetu,
Watanzania Tunamlilia!
Rip Bonge za Zimba
Mzee Pasco.
dah, hizi dharau kwa mzee wako kijana ,ingawa umesema ukweli , sasa pambana ,walau watoto wako waje wapate cha kurithiNimefikiria sana hao watoto wake jinsi wanavyokuja kuja kua madoni hapo baadae.halafu sasa nika imagine mzee wangu kama akitangulia jinsi nitakavyoteseka maana hana kitu zaidi ya makoti.Daah nimelia sana aiseee iiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiii naombeni kitambaa nifute machozi mazafaka
Acha bwanaCharred beyond recognition. Maisha haya kweli ni ubatili mtupu. Kilo 320 zimeishia kwenye kimfuko tu cha kubebwa kwa mkono mmoja.
View attachment 3682091
NAMKUMBUKA marehemu harmfrey POLEPOLENimefarijika sana kwa maneno haya, ya rais wetu kuwafariji wafiwa kufuatia kifo cha bonge, ila ningefarijika zaidi, kama Rais wetu, pia angetoa statment yenye maneno ya faraja kama haya, kwenye lile tukio letu lile!.
Mimi nilimuanzishia nyuzi mbili humu
1. Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?
2. Kumbe Bonge wa Zimbabwe ni Mtu wa Pisi Kali. Licha ya Kuonekana Tipwa Tipwa, ni Mtu wa Kazi na Anapiga Kazi Kweli Kweli kwenye mambo yetu yale
Japo huyu Bonge, hakuwa Mtanzania, lakini alikuwa rafiki kipenzi na mtu wetu, rafiki na mtu wetu ni rafiki yetu, mtu wetu akifiwa na rafiki yake ni sisi tumefiwa na rafiki yetu!.
Nichukue fursa hii kutoa pole kwa mtu wetu,
Watanzania Tunamlilia!
Rip Bonge za Zimba
Mzee Pasco.
Bado ndio natafuta hapaOk
Ushapata bwana au bado
Mie nipo hapa
Mme nipo kwa hapaMimi nimeshindwa pia nimeona bora tu nikaolewe🤣
Au sio!Mme nipo kwa hapa
Uhakika, tuhamie inbox sasa mamaaAu sio!
Tangulia nakujaUhakika, tuhamie inbox sasa mamaa
Sawa mamaaTangulia nakuja
Sa mbona umeweka restriction kuingia kule!Tangulia nakuja
Kaa mlangoni usubiri nakuja na funguoSa mbona umeweka restriction kuingia kule!
Sawa nipo kwa hapa kwenye ngaz ya mlango nimekaa nakusubiriKaa mlangoni usubiri nakuja na funguo