Nimewaza mengi msiba wa Chivayo

Nimewaza mengi msiba wa Chivayo

Nimefikiria sana hao watoto wake jinsi wanavyokuja kuja kua madoni hapo baadae.halafu sasa nika imagine mzee wangu kama akitangulia jinsi nitakavyoteseka maana hana kitu zaidi ya makoti.Daah nimelia sana aiseee iiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiii naombeni kitambaa nifute machozi mazafaka
mafanikio hayataki majuto kikubwa una pumzi na afya njema mengine ni matokeo tu kikubwa jitihada hazimtupi mja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom