We mdanganye mwenzio aje akione cha moto ndo utashangaa
kweli nimeamini raha ya mwanaume muwe wawili wewe na miss chagga
Wala me sijamwambia kitu mamkubwa.
best weee mwenye mume kalainika najua mumewe kampa maujuzi niliyomfundisha ile juzi usiku ... siri yako
Hahaaaaaaaaa sina neno kula bata we mpya....ila pia chungu cha zamani hakitupwi....hivo kula kwa akili....
wera weraaaaaaaaaaaa....
karibia kwa miguu yote saba!!
wapi Mr Rocky na mke wake aitwae miss chagga?
heheheee!!umeumbuka binamu
wifi yangu Dena Amsi karibu sana
tumekumiss kweli,ila binamu Mr Rocky
alipata mchepuko miss chagga,tulikua hatunywi maji
humu ndani!!
Kumbe una adabu hivi sikujua
cc miss chagga najua wivu huna lakini roho inauma
ahhh sasa DA mbona umekuwa na haraka hivoooo?? umeshindwa kunisubiri aisee turudi wote, mimi nimebakiza kama ekeri mmoja hivi ya mahindi na mm nirudi town, leo nimekuja dareda mjn kununua magunia ndo maana nimekaotea ka network bhana.....
NWY; wasalimie hasa hasa mke mdogo wa Mr Rocky.(miss chagga)