Dena Amsi karibu sana mke wangu mpandwa hapa tulikuwa na kamchepuko kameingilia mapenzi yetu ila niko na wewe daima miss chagga tuliza boliu mwenye mali karudi wewe kaa kimya kwa sasa bana
Asante kwa mahindi dear Dena Amsi.
Hapo ndipo napokupendea kwa kuzunga... Mr Rocky atavimba kichwa weee... wenzie twafaidi. Twende zetu PM dearest
hapa wapambe wengi sana.
kiwatengu, shem shansarie janeth1, mwallu Ntuzu muwe na amani pambano limeshaisha siku nyingi hili, mambo yote tushamalizaga PM.
Mr Rocky mume wangu we ndio wa kunikana hivi moyo wangu jamani mie.... mmmmmh iiiiiiiii jamani mie yeleuwiii.....Dena Amsi unatakumchukua mume wangu jamni...mashahidi wangu Ntuzu, mwallu,mwekundu,Tized, kiwatengu ndio alikuwa mwandishi wa habari mwee mwee .... Honey Faith naomba umsalimie kaka yako Ntuzu mwambie baba yangu namsalimia sna na yule ng'ombe mweupe kazaaa tunakunywa maziwa.....janeth1 nakumbuka ulikuwa unapita pita huku unaguna sikuelewa.....
Mr Rocky wewe siyo wakunifanyia hivyo mwee mwee mwee

Wala usijali bibie Mr.rocky hajakukataa saizi ni akili yake tu kucheza vizuri asikukwaze wewe wala bimkubwa! Na bmkubwa wako yuko peace sana ondoa hofu.