Nimewamiss sana watu wahumu

Nimewamiss sana watu wahumu

Tuendelee na ujenzi ndg zangu.
Screenshot_20221030-150304.jpg
 
Inamaan Unique Flower hujui kumtag mtu humu ndani Hadi leo

Fata hatua hzi kuweza kumtag mtu moja kwa moja na Kisha kupata notification

Ukiwa unataka kumtaja mtu jina bonyeza @ ....ukisha select hyo at itakulete mjina ya watu unaowatafuta hata ukianza kwa herufu tu untaziona zinaanza kutiririki majina ya member kibao bas utaselect unaye mtak moja kwa moja ukipost hyo post itaweka bold ya blue imekoleaa

Haya sas watag tena
 
Unampenda dadako sana hadi umempa elimu😂
 
Back
Top Bottom