balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,769
- 15,550
Makamu wa rais anapotezwa watamzania kimya,maelfu wameuawa watu kimya.Haya ccm nyote mlikuwa mnachuki na Nchimbi?
Ni Mzee Warioba tu aliyeongea wengine wote kimya.
Ina maana Nchimbi hakuwa na watu huko CCM? Wangoni nanyi hamna kitu, mwanenu anapotezwa nyie mmekalia tu mambo yenu yaleee.
Inasikitisha sana