Hapo Red... RIP Dena Amsi
Mkuu Moskwito... ukiendelea kupotea hivi nakuadd kwenye ignore list yangu. Tafazali nirudishie mjukuu wangu MwanajamiiOne kama tabia yako ndio hiyo.
Nimepita mkuu, nimejisikia faraja sana kuwasoma malegends wa MMU.
Mi nipo sana, sema kuna Konda mmoja ananichefua sana... Tatizo bosi wake anampa kiburi basi imekuwa tabu tupu hapa mjini.
R.I.P Dena.
Bado tunakukumbuka .
Babu shikamoo.
Hii thread imenifurahisha mno kuona wanawapotevu wanarudi Asante Mbu .
Usipotee Sana. Uwe unarudi kutusalim 🙄
Maria Roza ndio kapotea jumla. Na Gaijin aka mwalimu sijui yuko wapi ? -🙁
Kwakweli wanachefua mbaya sana yani...Konda na bosi wake tupa kuleeee. Sanaa zao zimeshatuchosha.
Kwakweli mwaka huu ni mwaka wa baraka... Umemjibia pia na Zion Daughter ??? memmiss sana mchumba wangu wa zamaniSisi tupo bro! Nimemjibia hadi na Mwalimu Gaijin.
Aloo....wewe jamaa umemficha wapi Ashadii?Wewee mzee Asprin wewee!?,.......ati nini? Nimshindwe? Anishindie nini?
......ushaambiwa huyu ni [HASHTAG]#SoulMate[/HASHTAG] , our bond was made in heaven,....hakuna kitachotutenganisha tena, hata pawe na distance vipi!
[HASHTAG]#Sahau[/HASHTAG] !!!!
Hapo Red... RIP Dena Amsi
Mkuu Moskwito... ukiendelea kupotea hivi nakuadd kwenye ignore list yangu. Tafazali nirudishie mjukuu wangu MwanajamiiOne kama tabia yako ndio hiyo.
Nimepita mkuu, nimejisikia faraja sana kuwasoma malegends wa MMU.
Mi nipo sana, sema kuna Konda mmoja ananichefua sana... Tatizo bosi wake anampa kiburi basi imekuwa tabu tupu hapa mjini.
R.I.P Dena.
Bado tunakukumbuka .
Babu shikamoo.
Hii thread imenifurahisha mno kuona wanawapotevu wanarudi Asante Mbu .
Usipotee Sana. Uwe unarudi kutusalim 🙄
Maria Roza ndio kapotea jumla. Na Gaijin aka mwalimu sijui yuko wapi ? -🙁
Usije ukawa unaniambia kijanja niseme RIP...Hahhhhaa,......
Hivi, yule klorokwin yupo?!
Nipo mama, tunaishi masikio yakiwa juujuu kwasababu kipindi hiki cha kutajanatajana ni kigumu sana!!jamani nipoooo
sijafwa badoooo........................miss you all guys.
jamani Mvaa Tai upo?
BAK Asprin, Mwanajamii one salamu zangu kwenu
Mie ndo muhusika mkuu. Tuma 25,000 nikuunganishe huko MMUWandugu nimeomba mda mrefu kuungwa MMU anayehusika plse
Dahhhhh?! Upo wewe!
JF sio ile ya miaka ile. Kumejaa watafuta wachumba asubuhi mchana na Jioni wengi wakiwa watoto wetu kama si wajukuu.Kwakweli wanachefua mbaya sana yani...