Nimewachukia sana wanaume mnisamehe

Kosa la mtu mmoja ndo uchukie wanaume wote hata kijacho pia...inabidi ukapime akili
 
R.I.P BIIIIITCH wanasema muuaji akifiwa hulia machozy ya simba, nashangaa nyinyi akina dada mkiachwa mnasema mmesalitiwa, je angekuletea ngoma?? shuykuru hata amekupa ujauzito soon utakua mama. hivi mlikua hamjua wanaume tunavyoumia pindi tunaposalitiwa? wewe tuun kuachwa unalia shame on you.
malipo ni hapa hapa duniani, bye the way chunguza matendo yako ndo utapata jibu, nachukia sana nyie viumbe pesa zetu tuwape tuwafanyie kila kitu tunachoweza kwa uwezo wetu lakin hamridhiki,
je nyie mngekua mnatuhonga halafu tunawasaliti mngejisikiaje?
 
Nimeikubali hii msg duh
 
we veeepe kwan wanaume wote tulikuwa wapenzi wako acha izoo wewe ...unatuchukia sie tunakujua kwan we veepee ...[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hahahahahaha dah haya sasa makavu
 
Unaweza kuwachukia wanaume ila kama papuchi inasumbua itabidi tu uitoe tena dah
 
Mimi nikupe hongera kushika mimba. cha msingi tuliza akili uzae salama. Ndugu yako wa kesho ni mtoto wako siyo huyo bwana. atakataa mimba ila siyo mtoto. pia kisasi mwamchie mungu.
 
Hii ndio raha ya kutembelea rim......kuzalishwa sio mwisho wa maisha muombe mungu uzae salama uleee mwanao
 
Hio mimba tumekutia wanaume wote au ????
 
On a povu linavyokutoka pole yako kumbe wamekufanya ATM machine hshaaaa hata sisi tunazo za kuhonga uje nikuhonge marioooo wewe!!!!!
 
N
ka umetoka na machunusi, basi ujue ni mtt wa kiume, ka uko softiee unang'aa ujue wa kike,. Hongera.
Niko siftieeee mnoooo hakuna hats dalili ya chunusi usoni mwangu sipaki lotion lkn ndio nang'aaa mnoii kama mwanga was kibatari
 
Daaah
Mbele kwa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…