Nimewachukia sana wanaume mnisamehe

chuki za mimba hizo dada, hebu kula malimao mengi. mm mwenyewe hapa nlipo nachukiwa na wife hadi nasingiziwa nakojoa kitandani yaan kwa upande wangu nyumba haikalik.
 
Hata uliwa leba utasema sitakaa ninanilyiu tena kitoka wiki nyingi hamuhamu
 
chuki za mimba hizo dada, hebu kula malimao mengi. mm mwenyewe hapa nlipo nachukiwa na wife hadi nasingiziwa nakojoa kitandani yaan kwa upande wangu nyumba haikalik.
Duuh pole sana
 
Wanaume wanajua kuacha mbegu na hao hao wananyoshea vidole single mothers
 
Mkuu vp umesharudi toka korea na huyo mkorea mwenye mimba yako. Naona unajiita kimbilio kumbe ya mkorea bado hayakutoshi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
we veeepe kwan wanaume wote tulikuwa wapenzi wako acha izoo wewe ...unatuchukia sie tunakujua kwan we veepee ...[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 


ka umetoka na machunusi, basi ujue ni mtt wa kiume, ka uko softiee unang'aa ujue wa kike,. Hongera.
 
pole sana, bt hizo ni changamoto tu za maisha, inaonekana boy wako alikutamani tu na wala hakukupenda, b'se asingekutenda, naamini mungu atakusaidia
 
wala tu usiwachukie ni haki yako kupendwa wewe zaa, tulia yupo atayekupenda kama ulivyo
 
Haukuwa na plan B?,yaan unajiweka kwa MTU na unataka akuhudumie wee,jamaa atakuwa amepiga hesabu akaona isiwe taabu.Kama ulianza oooh,Nina mimba yako Mara nataka juice,Mara kitimoto ooh naenda club mimba yako inanisumbua au niitoe? kwanini jamaa asikimbiee?
 
MAMA WA MTOTO UJAE MUNGU AKUPE MOYO WA AMANI NA MATUMAINI MAPYA KATIKA MAISHA UNAYOPITIA KWA SASA NAWE UTAFARIJIKA SIKU ZINAKUJA USIOGOPE!!! Mwanaume hachukiwi Mama bali kumkaribia kwa hekima na uvumilivu wote amini ipo siku anakuja mapema sana, akija mpokee msikilize kisha uamue usiwahukumu kwa kosa hilo uzazi bado ungali unao mama jipe moyo umeshinda!! Karibu sana ningekuwa jirani na wewe faraja ungeipata lakini Mungu ndiye mfariji wa kweli....
 
Kuna watu wanajua kuumiza watu.hiyo ndio kipaji chao.hata akiombwa ushauri yeye ataumiza tu.ni vipaji walivyo jaliwa.
 

Bhebhe Ng'wanapagi, unajipigia ndogo ndogo!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…