Black Mirror
JF-Expert Member
- Oct 17, 2019
- 971
- 1,273
Kwanza mtu mzima kuanza kuimbiwa na kupigiwa vifijo eti happy birthday naona kama upuuzi fulani au mimi ni mshamba labda.....sembuse kumwagiwa matope na maji......vijana mna kazi...
A level almanusura nitoe roho ya mtu....Hii tabia nmeiona sana kwa watu imeanza kuota na kukua kama uyoga. Tabia ya kumwagiana matope au maji machafu kama ndio kusheherekea siku ya kuzaliwa.
Walianza na maji ya baridi na mabarafu. Naona wakaona hiyo si kitu sasa wanapakazana matope n.k kuna siku wataanza mwagiana maji ya chooni yalichonganyika na choo.
Leo Jumamosi naenda zangu kazini, walinifanyia surprise ya keki zawadi na vinywaji. Haikuwa tatizo mpaka hapo. Basi nmemaliza kazi akaja dada mmoja kuniuliza naondoka saa ngapi.
Nlimjibu akaondoka sikumfuatilia. Kipindi naondoka naenda parking akauliza tena "Sir are you leaving now?" Nikamjibu yes nikasimama kutaka kujua ana nini. Akanijibu tu "thank you sir, have a nice weekend" nilishangaa kidogo.
But muda huo huo nikaona watu kadhaa wanaongozana kwenye lift then mimi nikaitwa na kaka mwingine nadhani anicheleweshe kidogo wale washuke parking wakaandae jambo
Baada ya dk 4 nikaja kwenye lift then nikashuka kama baada ya dk 2 after waiting.
Nafika hivi kumbe walifanya timing vibaya ndio wamekuja na matope yao kwenye ndoo. Niliwaambia kwa ukali nione mtu ananimwagia huo uchafu na mambo ya kipuuzi. Wakashtuka kidogo maana kiukweli nlikuwa nimeshakasirika.
Ile ndoo ikashushwa, na wale wahusika wakapigwa na butwaa. Nikapita katikati yao nikaingia kwenye gari nikawasha nikageuza nikaondoka.
Huu utamaduni sijui ni wa wapi.
BINAFSI NAUKATAA NA HUWA SIPENDI MAMBO YA KIPUMBAVU KABISA.
Nlikataa toka zamani miigo ya kipumbavu. Girlfriends wangu walipata shida sana siku za valentine, maana sikuwa nasheherekea by any means.
Nadhani leo ofisini wamejifunza kitu, na ninawaambia na watu wengine muwe mnaangalia na watu. Leo ningemfumua mtu mshono. Nimewaambia ole wake mtu aje nimwagia matope. Ole wake.
Usijisifu kuwatishia hao madada na kujiona una sauti.
Hujakutana na watu wajinga kuliko unavyodhani.
sasa boss huoni kama kuanzia Leo utajulikana kwa wafanyakaz wenzako kuwa upo jamii forum na unatumiaga jina bandia...
Pumbavu zako mleta uzi,tena ficha ujinga wako,walijuaje leo ndo siku yako ya kuzaliwa kama hukuwaambia?tena wamekukosakosa,ningekuwepo mimi ningekuvua nguo zote nikuvalishe nepi,ili iwe fundisho kwa mazuzu wenzio wanaoiga kila ujinga,limbukeni mkubwa weee
Mkubwa mzima unalishwa keki nawe unajiita mwanaume? Acha uvulana wewe kigori.Sister hata ungekuwepo wewe....na hao nliowaambia ni wanaume.wangekuwa wadada wala nsingefoka sana.unadhani kila mtu anapenda michezo ya kipumbavu?
Mkubwa mzima unalishwa keki nawe unajiita mwanaume? Acha uvulana wewe kigori.
Siku yako ya kuzaliwa anaijua mama yako acha asherehekee yeye kwa niaba yako. Siyo kuanza kula keki kama kitoto.
Tumekujua wewe ni jike lenye uume na ndevu sasa muda mwingine upuuzi wa mambo yenu baki nayo kwa wake wenzako huko.Sister mbona ume panic sana? Kwa nini hili jambo limekuumiza sana ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nakuona umepanic mpaka nashangaa. Wivu kuwa wadada wale naweza wapenda? Acha wivu wa namna hiyo sister.wale ni wafanya kazi tu na pia walikuwepo wanaume.usiwe na hofu mrembo mimi si wa namna hiyo. Utaumia bure tu moyo.
Angewafumua mshono tu au hujamsikia vizuri?Usijisifu kuwatishia hao madada na kujiona una sauti.
Hujakutana na watu wajinga kuliko unavyodhani.
SafiHii tabia nmeiona sana kwa watu imeanza kuota na kukua kama uyoga. Tabia ya kumwagiana matope au maji machafu kama ndio kusheherekea siku ya kuzaliwa.
Walianza na maji ya baridi na mabarafu. Naona wakaona hiyo si kitu sasa wanapakazana matope n.k kuna siku wataanza mwagiana maji ya chooni yalichonganyika na choo.
Leo Jumamosi naenda zangu kazini, walinifanyia surprise ya keki zawadi na vinywaji. Haikuwa tatizo mpaka hapo. Basi nmemaliza kazi akaja dada mmoja kuniuliza naondoka saa ngapi.
Nlimjibu akaondoka sikumfuatilia. Kipindi naondoka naenda parking akauliza tena "Sir are you leaving now?" Nikamjibu yes nikasimama kutaka kujua ana nini. Akanijibu tu "thank you sir, have a nice weekend" nilishangaa kidogo.
But muda huo huo nikaona watu kadhaa wanaongozana kwenye lift then mimi nikaitwa na kaka mwingine nadhani anicheleweshe kidogo wale washuke parking wakaandae jambo
Baada ya dk 4 nikaja kwenye lift then nikashuka kama baada ya dk 2 after waiting.
Nafika hivi kumbe walifanya timing vibaya ndio wamekuja na matope yao kwenye ndoo. Niliwaambia kwa ukali nione mtu ananimwagia huo uchafu na mambo ya kipuuzi. Wakashtuka kidogo maana kiukweli nlikuwa nimeshakasirika.
Ile ndoo ikashushwa, na wale wahusika wakapigwa na butwaa. Nikapita katikati yao nikaingia kwenye gari nikawasha nikageuza nikaondoka.
Huu utamaduni sijui ni wa wapi.
BINAFSI NAUKATAA NA HUWA SIPENDI MAMBO YA KIPUMBAVU KABISA.
Nlikataa toka zamani miigo ya kipumbavu. Girlfriends wangu walipata shida sana siku za valentine, maana sikuwa nasheherekea by any means.
Nadhani leo ofisini wamejifunza kitu, na ninawaambia na watu wengine muwe mnaangalia na watu. Leo ningemfumua mtu mshono. Nimewaambia ole wake mtu aje nimwagia matope. Ole wake.
Wanaomwagiwa wote wanajuaje tarehe zao za kuzaliwa?Pumbavu zako mleta uzi,tena ficha ujinga wako,walijuaje leo ndo siku yako ya kuzaliwa kama hukuwaambia?tena wamekukosakosa,ningekuwepo mimi ningekuvua nguo zote nikuvalishe nepi,ili iwe fundisho kwa mazuzu wenzio wanaoiga kila ujinga,limbukeni mkubwa weee
Tumekujua wewe ni jike lenye uume na ndevu sasa muda mwingine upuuzi wa mambo yenu baki nayo kwa wake wenzako huko.
Siyo kila jambo uje kusema humu ili iweje sasa! Umeshindwa kulimaliza huko unakuja huku ili tujue umekula keki au ofisini kwenu mna ndoo za kuwekea matope?
Wanaomwagiwa wote wanajuaje tarehe zao za kuzaliwa?
Acha ulimbukeni wewe kuku. Una ulimbukeni wa vitu vingi.Kilaza huyo. Hawa ndo wakiulizwa siku yao ya kuzaliwa wanaficha eti watarogwa.maofisini hizi siku zinafahamika kirahisi tu maana kwetu sisi zote zinafahamika hata wewe ukijisahaulisha ukija job unakuta baada ya kazi kuna keki na drinks watu wanasheherekea basi.
Utayajua siku ukimwagiwamaji ya chooni yaliyochanganyikana na choo, ni maji gani hayo.?
Babu yako na bibi yako walikuwa wanafanya hayo maigizo?zamani ofisi hazikuwepo?au wewe ndo uko ofisini peke yako?acheni maisha ya kuigiza.Nimewahi kuona watu mafala,pumbavu na kumbikumbi ila sijaona kama wewe.ndo matatizo ya vitoto vilivyo sekondari.kwa sisi wa maofisini birthdays siyo siri.kila mtu anafanyiwa birthday yake ni utaratibu sababu wote siku zetu za kuzaliwa zinajulikana na HR.sasa kwa wewe mtoto huwezi elewa dada.
Mwingine kachomwa kisu songea huko kisa tope la birthdayUjingaujinga Tu, Unamwagia Mtu Matope Upate Nini
Kuzaliwa Ameshazaliwa Na Hakumwagiwa Huo Uchafu
HaoIlitakiwa Uwache Viboko Wote