Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,474
- 46,442
Kifupi ni kua hawaridhiki.Wengi wanaoaga ni attention seekers
Comrade wangu we hunaga dogo π2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
View attachment 3424411
Wa nyumba kumi, kamati kuu ya ccm au mjumbe kama jina??Mjumbe π
Kifupi ni kua hawaridhiki.
Pamoja na kua ni viumbe pekee wanaopewa attention 24/7 hapa jf, ila bado wana vioja vya kuaga na kurudi ghafla.
Bila shaka kuna target zao, kuna wamba wanawaelewa ila kuwaambia hawawezi, wanatumia mbinu za kijasusi zilizopitwa na wakati wakidhani kila Me karne hii anababaika na hizo propaganda.
Mkuu mshauriane huko kwenye vikao vyenu, kama hata wewe unanikubali Vishu Mtata , agent makini 007(daboziroseven) niambie, pm iko wazi.
Razorblade naye ata jisogeza kusikiliza yasiyo muhusu,πKwanza niitie Selikavu mwambie tukutane kule Korea
Hahaha πππKaribu sana jameni humu kumebadilika sana imagine Mgerasi Maghayo I'd yake imebadilika Jina inaitwa
Busu la Kenge Daaa kweli ukubwa jalala!
ππ
Kwani amekuja kumtafuta Busu la Kenge?Na baada ya wiki utaondoka tena
Owaa vayolensi everywhere ππComrade wangu we hunaga dogo π
Kijana ana mechi ngumu sana leo yupo training ππRazorblade naye ata jisogeza kusikiliza yasiyo muhusu,π
π€£π€£π€£π€£π€£Baada ya majina ya Ccm kutangazwa nimeona ujio wa I'd za zamani kurudi kwa kasi
ππNakuja speed ya Ngiri mkia juuππ
Ni KGB (Established on March 13, 1954, the KGB, short for Komitet Gosudarstvennoy Bezopasnosti in Russian (which translates to the Committee for State Security in English), was responsible for gathering intelligence both domestically and internationally, conducting counterintelligence, protecting the leadership of the Soviet ...)Nadhani JF ipewe kitengo Usalama wa Taifa na membars tulipwe na sirikale ya CCM humu tupo ma Spy wa Mossad,CIA ,KBG nk na hatuna posho nashauri kwa niaba ya wote tutangaze Jamhuri ya JF!
ππ
Kuna mtu anawindwaKwani amekuja kumtafuta Busu la Kenge?
Mmeenda wap kwan mbona hampoππππ
tuko quarantineMmeenda wap kwan mbona hampoππ
πππ Ukimaanisha Fungate ama??tuko quarantine