Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,340
- 46,131
"Kwa id hii hii"2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
View attachment 3424411
Watu smart utawajua tu, ikiwa miandiko tu tunaijua ya nani tutashindwaje kujua IDs zifananazo?Karibu sana jameni humu kumebadilika sana imagine Mgerasi Maghayo I'd yake imebadilika Jina inaitwa
Busu la Kenge Daaa kweli ukubwa jalala!
ππ
Uchokozi ππ2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
View attachment 3424411
Nadhani JF ipewe kitengo Usalama wa Taifa na membars tulipwe na sirikale ya CCM humu tupo ma Spy wa Mossad,CIA ,KBG nk na hatuna posho nashauri kwa niaba ya wote tutangaze Jamhuri ya JF!Watu smart utawajua tu, ikiwa miandiko tu tunaijua ya nani tutashindwaje kujua IDs zifananazo?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ile meme inayosema TEKINOLOGIA TEKINOLOGIA naikubali sana!2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
View attachment 3424411
Mtafiti2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
View attachment 3424411
Uzi tayari?Nimewa miss humu ndani!! πβ€οΈ
Nimekuwa nje ya jf 2 yrsπ₯²
Uzi tayari!!π
Hahahaa. Pacha nakugawa. ππ2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
View attachment 3424411
Baby Nimah2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
View attachment 3424411
πππππ2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
View attachment 3424411
Uko alipo kila baada ya miezi 3 ni mwaka mpya2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
View attachment 3424411
πππππV.A.R tayari ishakabia kwa juu πΉπΉ
Yani ukute kajisahau kajua katumia id yake aliyoitelekeza kumbe yupo na ile ile..!!
JF ina ma GT vichaa π€£
Unaweza kukuta hata hizo ID zinazomkaribisha na kujifanya zilim miss ni za kwake pia,Mtu anaongopa jambo kama hili....ajabu!!!