Nimevuruga kikao cha watu, hakuna ndoa tena

Umeanza na jina linaanziwa name J baadae umenogewa kutuambia ni James

Ila hata ukiachana na mambo ya Bikra. Hakuna ndoa hapo......mapema sana kakunjua makucha tayari huyo mgogo/mrangi
Atakuwa Mrangi. Hao watu ni zaidi ya Messi kwenye mapenzi.
 
Wakuu kwema!

Jana jumamosi nilikuwepo kwenye Kikao kilichofanyika Tegeta Tangibovu.

Kikao kilimhusu mtoto wa Baba Mkubwa, ambaye kiumri anamiaka 29 nikiwa nimemzidi miaka Kama sita hivi.

Mtoto wa Baba mkubwa ambaye jina lake linaanzia na herufi J, miezi minne iliyopita yaani mwezi wa tatu, alitoa Posa Kwa binti mmoja mwenye asili ya
Naam
Kwa mujibu wa Biblia umetenda haki na thawabu yako njema inakisubiri.

Mwanamke aina hiyo kumuoa anaenda kuwa mwiba mwilini mwako hadi mwisho wa uhai wako.

Just like Israel na Palestina.
 
Wakuu kwema!

Jana jumamosi nilikuwepo kwenye Kikao kilichofanyika Tegeta Tangibovu.
Bikra si issue sanaaa issue ni heshima na kujitambua huyo bint bado hajitambui na hana heshima kwa mdogo wako.

Kila mtu ana mapito yake kwahyo akina dada wasio na bikra wasilaumiwe sanaaa wengine walikuwa kwenye relationship ambazo walikuwa wanaamin zitawafikisha mbali ila hazikuworkout sasa wafenyeje?.

Huyo mdogo wako hana msimamo na trust me atakuja kuishi na huyo dada na wote kwa pamoja watakuja kukugeuza ww kuwa adui mkuu wa mahusiano yao. Nadhan huijui vizur nguvu ya papuchi
 
Wataoana. Trust me. Na wewe utakuwa adui yao namba moja. Usipende kujihusisha na mambo ya watu wawili hadharani hasa wenye akili za kitoto kama huyo mdogo wako
🤣🤣🤣🤣🤣!!! Jamaaa atakua adui namba moja wa familia.
 
Bikra si issue sanaaa issue ni heshima na kujitambua huyo bint bado hajitambui na hana heshima kwa mdogo wako.

Kila mtu ana mapito yake kwahyo akina dada wasio na bikra wasilaumiwe sanaaa wengine walikuwa kwenye relationship ambazo walikuwa wanaamin zitawafikisha mbali ila hazikuworkout sasa wafenyeje?.

Huyo mdogo wako hana msimamo na trust me atakuja kuishi na huyo dada na wote kwa pamoja watakuja kukugeuza ww kuwa adui mkuu wa mahusiano yao. Nadhan huijui vizur nguvu ya papuchi

Sasa Kama binti Hana bikra unauhakika upi anajiheshimu?

Huyu ni Kwa sababu kashikwa je asingeshikwa?

Ni ujinga kusema muhimu Kwa mwanamke ni kujiheshimu wakati huo huo huna uthibitisho.

Mimi Nina maadui wakubwa, hivi vitoto havitanisumbua akili.
 
Naam
Kwa mujibu wa Biblia umetenda haki na thawabu yako njema inakisubiri.

Mwanamke aina hiyo kumuoa anaenda kuwa mwiba mwilini mwako hadi mwisho wa uhai wako.

Just like Israel na Palestina.

Hata Biblia isingeandika, ni akili ya kawaida kutambua Jambo hilo.
 
Wakuu kwema!

Jana jumamosi nilikuwepo kwenye Kikao kilichofanyika Tegeta Tangibovu.

Kikao kilimhusu mtoto wa Baba Mkubwa, ambaye kiumri anamiaka 29 nikiwa nimemzidi miaka Kama sita hivi.
Safi sana, mwanamke asiye na Bikra hastahili kupewa heshima ya ndoa, ni malaya tu.
 
Kwanza kabla sijamaliza kusoma tuanze na hilo swala la bikira unalowadanganya siku nyingi wasiooa ,waanze kuzitafute kumbe hazipo. Wewe na huo umri wa miaka 35,bikira zipi unazipata?. Unabaka vitoto vya shule ya msingi?. Maana pekee ndivyo vyenye bikira. Ukiniambia katika huo umri eti kuna bikira unakumbana nazo watakuelewa wenye akili kama zako tu. Hata uniambie umri wa miaka 27 unapata bikira bado sio kweli kwa kizazi cha sasa
 
Wataoana. Trust me. Na wewe utakuwa adui yao namba moja. Usipende kujihusisha na mambo ya watu wawili hadharani hasa wenye akili za kitoto kama huyo mdogo wako
Huyu jamaa ana akili za kitoto hatari. Halafu anaelekea kwenye uzee. Vijana wanamsikiliza kweli na porojo zake za bikira.
 
Umeanza na jina linaanziwa name J baadae umenogewa kutuambia ni James

Ila hata ukiachana na mambo ya Bikra. Hakuna ndoa hapo......mapema sana kakunjua makucha tayari huyo mgogo/mrangi
Binti kama huyo ukiweka ndani ni pasua kichwa,anaonekana ni mtu wa tamaa za pesa na limbukeni.
Akija mtu mwenye gari hata kama ni ya kuazima anaondoka naye kirahisi sana na hajui thamani ya ndoa

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu kwema!

Jana jumamosi nilikuwepo kwenye Kikao kilichofanyika Tegeta Tangibovu.

Kikao kilimhusu mtoto wa Baba Mkubwa, ambaye kiumri anamiaka 29 nikiwa nimemzidi miaka Kama sita hivi.

Mtoto wa Baba mkubwa ambaye jina lake linaanzia na herufi J, miezi minne iliyopita yaani mwezi wa tatu, alitoa Posa Kwa binti mmoja mwenye asili ya Dodoma.
Baada ya kutoa mahari, ndoa ilipangwa ifungwe mwezi wa Tisa tarehe 27.

Michango ilichangwa, wanandugu na watu wa karibu tuliambiwa tuchangie 100,000 Kwa single na 150,000 Kwa double.
Michango ilianza Rasmi mwezi wa sita. Na 70% wamechanga .

Mwezi Saba Mwanzoni J alinipigia simu akitaka tuonane.
Tukapanga siku tukaonana pale Ubungo Plaza,
Akanieleza jinsi alivyochanganywa na mchumba wake baada ya kuzifumania SMS za hovyo za mapenzi kwenye simu ya mchumba wake.
Kwa mujibu WA maelezo yake ni kuwa Mchumba wake anamegwa na huyo msela ambaye ni mwajiriwa katika Benk Maarufu hapa Nchini.

Nikamuuliza, alivyoongea na mchumba wake ikawaje,
Akanijibu kuwa Mchumba wake alikuwa mkali Kama mbogo.

Nilikamuuliza swali la lazima ambalo wengi wanaoniombaga ushauri huwa nawauliza.
"ulimkuta Bikra huyo mchumba wako?"
Akanijibu hapana.

Nikamwambia Piga chini wala usijishauri na wala usisubiri nikushauri zaidi.

Fukuza, mwambie umeghairi kumuoa.
Akaniambia, lakini bado anampenda, nikamwambia Kama unampenda ulichoniitia ni kitu gani Kama sio upumbavu wake.

Nikamtolea mifano ya ndugu niliowashauri wakavunja Uchumba usio na mbele Wala nyuma na sasa wanafurahia maisha Kama jokajeusi.

Akanambia atafikiria. Nikamwambia asiniite tena mpaka atakapokuwa amempiga chini. Tukapotezana Kwa wiki mbili hivi.
Mwanzo mwa wiki iliyopita mambo yalikuwa mabaya Sana.

Mwanamke anamuomba msamaha, vikao vimekuwa vingi sasa dogo anazidiwa ushawishi na pande zote mbili. Wote wanamshauri amuoe.
J aliwaambia Baba Mkubwa hataki kumuoa mchumba wake na hakuwaambia ukweli wote, isipokuwa alitoa sababu za kawaida.

Sasa ijumaa Dogo akanambia ananiomba kwenye kikao cha jumamosi ambayo ni Jana.
Ili nimuunge Mkono kwenye msimamo wake.

Jana kwenye kikao,
Nimechafua upepo, nimeeleza kila kitu,

Nikamuuliza mchumba wake J,
"Unafikiri ni Kwa nini unastahili kuolewa na J na sio mwanamke mwingine?"
Akanijibu Kwa sababu anampenda na anatabia njema.

Nikamuuliza,
"Ni kipi unamaanisha ukisema unatabia njema?"
Akajibu kuwa atamheshimu na kumsikiliza.

Nikamuuliza,
"Kwa mfano J akasema anatafuta mwanamke mwenye bikra Kama ishara ya tabia njema Kwa mwanamke, je utakuwa nayo hiyo bikra?"

Hapo nikamuona Shemeji yangu akijaa upepo, amepaniki, kikao kikaingiliwa na wakubwa upande huu na upande huu wakilipinga swali langu kumstahi binti wa watu.

Mwisho nikasema,
Binti huyu atamsumbua kijana wetu. Hajaolewa, mchakato wa Harusi yake na ndugu yetu unaendelea yeye analala na wanaume wengine.

Kama ningekuwa ni amri yangu, basi hapa hakuna Harusi,
Baada ya hapo James akaniunga Mkono tukatoka tukiacha wametahamaki huku Mchumba wake J akitufuata nyuma akimlilia James.

Bikra Matters

Yaani binti yuko kwenye taratibu za kuolewa anachepuka wanaume wengine!?

Wazazi tuombe rehema za Mungu kwaajili ya watoto wetu
 
Mbona hiyo IPO Sana.

Mwingine analala na mwanaume mwingine siku moja kabla ya Harusi.

Dunia ina mambo hii
 
Hongera sana joka jeusi, umemuokoa J. bi harusi angemegwa sana siku moja kabla ya harusi kisha akaachiwa aende nae fungate.
 
Kwanza kabla sijamaliza kusoma tuanze na hilo swala la bikira unalowadanganya siku nyingi wasiooa ,waanze kuzitafute kumbe hazipo. Wewe na huo umri wa miaka 35,bikira zipi unazipata?. Unabaka vitoto vya shule ya msingi?. Maana pekee ndivyo vyenye bikira. Ukiniambia katika huo umri eti kuna bikira unakumbana nazo watakuelewa wenye akili kama zako tu. Hata uniambie umri wa miaka 27 unapata bikira bado sio kweli kwa kizazi cha sasa
Mkuu kama nadanganya hapa Basi Mungu anilaani mimi na kizazi changu chote, nimewahi kukutana na binti wa miaka 24 aliemaliza chuo cha mipango dodoma akiwa mpya kabisa (bikra) na nikamtoa mimi mwenyewe.

Mkuu amini bikra zipo,kuna wanawake wanajua kujiheshimu inategemeana tu na cycle yako ya maisha.Sio rahisi kuwapata kutokana na aina ya maisha wanayoishi ila wapo wengi tu.

Mke wangu pia nilimkuta slid kabisa, ndiomaana mimi huwa namsupport Sana mkuu Jokajeusi .
 
Wakuu kwema!

Jana jumamosi nilikuwepo kwenye Kikao kilichofanyika Tegeta Tangibovu.

Kikao kilimhusu mtoto wa Baba Mkubwa, ambaye kiumri anamiaka 29 nikiwa nimemzidi miaka Kama sita hivi.

Mtoto wa Baba mkubwa ambaye jina lake linaanzia na herufi J, miezi minne iliyopita yaani mwezi wa tatu, alitoa Posa Kwa binti mmoja mwenye asili ya Dodoma.
Baada ya kutoa mahari, ndoa ilipangwa ifungwe mwezi wa Tisa tarehe 27.

Michango ilichangwa, wanandugu na watu wa karibu tuliambiwa tuchangie 100,000 Kwa single na 150,000 Kwa double.
Michango ilianza Rasmi mwezi wa sita. Na 70% wamechanga .

Mwezi Saba Mwanzoni J alinipigia simu akitaka tuonane.
Tukapanga siku tukaonana pale Ubungo Plaza,
Akanieleza jinsi alivyochanganywa na mchumba wake baada ya kuzifumania SMS za hovyo za mapenzi kwenye simu ya mchumba wake.
Kwa mujibu WA maelezo yake ni kuwa Mchumba wake anamegwa na huyo msela ambaye ni mwajiriwa katika Benk Maarufu hapa Nchini.

Nikamuuliza, alivyoongea na mchumba wake ikawaje,
Akanijibu kuwa Mchumba wake alikuwa mkali Kama mbogo.

Nilikamuuliza swali la lazima ambalo wengi wanaoniombaga ushauri huwa nawauliza.
"ulimkuta Bikra huyo mchumba wako?"
Akanijibu hapana.

Nikamwambia Piga chini wala usijishauri na wala usisubiri nikushauri zaidi.

Fukuza, mwambie umeghairi kumuoa.
Akaniambia, lakini bado anampenda, nikamwambia Kama unampenda ulichoniitia ni kitu gani Kama sio upumbavu wake.

Nikamtolea mifano ya ndugu niliowashauri wakavunja Uchumba usio na mbele Wala nyuma na sasa wanafurahia maisha Kama jokajeusi.

Akanambia atafikiria. Nikamwambia asiniite tena mpaka atakapokuwa amempiga chini. Tukapotezana Kwa wiki mbili hivi.
Mwanzo mwa wiki iliyopita mambo yalikuwa mabaya Sana.

Mwanamke anamuomba msamaha, vikao vimekuwa vingi sasa dogo anazidiwa ushawishi na pande zote mbili. Wote wanamshauri amuoe.
J aliwaambia Baba Mkubwa hataki kumuoa mchumba wake na hakuwaambia ukweli wote, isipokuwa alitoa sababu za kawaida.

Sasa ijumaa Dogo akanambia ananiomba kwenye kikao cha jumamosi ambayo ni Jana.
Ili nimuunge Mkono kwenye msimamo wake.

Jana kwenye kikao,
Nimechafua upepo, nimeeleza kila kitu,

Nikamuuliza mchumba wake J,
"Unafikiri ni Kwa nini unastahili kuolewa na J na sio mwanamke mwingine?"
Akanijibu Kwa sababu anampenda na anatabia njema.

Nikamuuliza,
"Ni kipi unamaanisha ukisema unatabia njema?"
Akajibu kuwa atamheshimu na kumsikiliza.

Nikamuuliza,
"Kwa mfano J akasema anatafuta mwanamke mwenye bikra Kama ishara ya tabia njema Kwa mwanamke, je utakuwa nayo hiyo bikra?"

Hapo nikamuona Shemeji yangu akijaa upepo, amepaniki, kikao kikaingiliwa na wakubwa upande huu na upande huu wakilipinga swali langu kumstahi binti wa watu.

Mwisho nikasema,
Binti huyu atamsumbua kijana wetu. Hajaolewa, mchakato wa Harusi yake na ndugu yetu unaendelea yeye analala na wanaume wengine.

Kama ningekuwa ni amri yangu, basi hapa hakuna Harusi,
Baada ya hapo James akaniunga Mkono tukatoka tukiacha wametahamaki huku Mchumba wake J akitufuata nyuma akimlilia James.

Bikra Matters
Fake news
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom