Nimevunja uchumba wa watu

Asante broo kwa nasaha zako
 
Kwa hyo nisiende.???
 
Daaah
Huyo mwanamke kayataka wazee wakipokea mahali ya watu hutakiwi mwanamke kucheka na vibwengo wengine.ni halali yake aachike kabisa...

Kuhusu wewe pambana na hali yako.
 
Sasa huyo mwanamke amekukubali vp wakati alikuwa ana mchumba na mahali katolewa kama sio tamaa na umalaya? Huyo mwanamke anastahili kupigwa mawe hadi kufa kwa kuumiza mtoto wa mwanamke mwenzie asiye na hatia.


By the way nyie wanaume mnaohudumia wanawake mnapatikana wapi jaman nije
 
Kwe
Kweli unampenda kama uko tayari hadi kuenda kwao! Inafurahisha mkuu, wewe nenda kawajibike huko kwao urudishe mahari ya jamaa na ratiba ya ndoa ibaki vilvilevile
 
Acha tuuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…