Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,688
- 2,981
- Thread starter
- #161
Asante sana kaka
Kosa sana...ila lisafishe kwa wema...muoe...
Kosa sana...ila lisafishe kwa wema...muoe...
Samahani ila nadiriki kusema hii ni chai
Acha ufala wee!
NAWE YATA KUKUTA, KAMA SIO KWAKO, KWA MWANAO AU WIJUKUU ZAKO.
Na huyo binti, KAMWE HATA KUWA NA MAPENZI YA DHATI NAWE, MILELE YOTE....!
Asante broo kwa nasaha zakoSerious sababu demu bado hana msimamo ana mawenge flani hivi...!! Ukiona unamwambia mwanamke achagu kati ya wewe na jamaa anasema bado yupo Njia panda jua Huyo sio riziki yako.. Lililotokea ni kosa tu mbona wanafumaniwa wake za watu na wasameheana maisha yanaenda just sikilizia kwanza usiwe mwepesi wa kwenda kwao kutaka umuoe wewe...!!
Tulia kwanza muda utaamua Mkuu...
Humpendi ungempenda usingemwaribia uchumba wake .Dooooh. Mm nampenda lakini
aiseeee kiherehere cha wapi icho mkuu unaenda fanya nini uko kwani ulikuwa na mazoea na wazazi wake ....huyo rafiki yako sijui ndo crush ni mtoto mpaka hajui anachokifanya utakua tahira kwenda afu hayo mambo yanaanziaga mbali sana unadhani watu wanaachana haraka ivyo wana ishu zao tokea kitambo inaweza ikawa wewe ila mwanamke anaelewa vizuri .....wewe ulikuwa umekaaa tu kwenye kochi kuna watu wanakutwa wanapigwa miti ila hawaachiki bado acha ufala mkuu
Huyo mwanamke kayataka wazee wakipokea mahali ya watu hutakiwi mwanamke kucheka na vibwengo wengine.ni halali yake aachike kabisa...
Kuhusu wewe pambana na hali yako.
Sawa manUsiende kwaoo... Acha muda uamuee na usiwe kiherehere kumtafuta..!! kausha tu kwa sasa
napenda aje kuwa mke wangu
Humpendi ungempenda usingemwaribia uchumba wake .
I want to say the sameKarma is alive.
Unadhambi ya huyo kijana machozi yake yatakuandama hadi siku yako ya mwisho labda ukanwombe msamaha nyie wote wawili.napenda aje kuwa mke wangu
Acha familia warudushe mahari mimi nitatoa baadae. Kama watafikia huko
Kweli unampenda kama uko tayari hadi kuenda kwao! Inafurahisha mkuu, wewe nenda kawajibike huko kwao urudishe mahari ya jamaa na ratiba ya ndoa ibaki vilvilevileHabari za eid
Kuna binti niponae kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa toka mwaka huu uanze. Nimekuwa nikimpenda sana kiasi cha kujitoa sana kifedha na ki hali kwa muda wote huu.
Lakini binti amekuwa akinisisitiza kuwa yeye ni mchumba wa jamaa fulani na wanasubiri ndoa tuu. Hiyo hali haikunirudisha nyuma kwa mapenzi niliyokuwa nayo kwake.
Juzi jioni Baada ya kutoka kutafuta Ugali wa watoto nikampigia bint kuwa niende kwake au yeye aje kwangu. Binti akasema niende. Basi bila kusita nilifunga safari nikaenda. Tukawa kwake akapika tukala
Hamad mida ya saa4 mlango ukagongwa. Sikuwa na wasiwasi kumbe ni mchumba wake. jamaa akaingia ndani akanikuta nimekaa kwenye sofa, jamaa akaniangalia akaniuliza hivi bado unaendelea na mchumba wangu?? Mm nikawa kimya jamaa akaingia chumbani kwa mwanamke akabeba vitu vyake na kuondoka. Mm nikabaki na yule mwanamke.
Amelia usiku kucha na kunitupia mm izo lawama. Asubuhi jana jamaa ameambatana na mshenga wake wameenda nyumbani kwa akina Binti kudai mahari. Ndugu wa mwanamke wameomba jamaa na mshenga waende Jumamosi ili kikao cha familia kilichopokea mahari kikutane. Baba na mama ya binti wameshindwa kumtuliza jamaa ili wayamalize. Jana jioni nilipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mzazi wa binti, niliongea nae aiwa analia sana. Nimeomba leo niende nyumbani kwa akina binti nikawasikilize wazazi wake.
Nimemuuliza binti kuwa niende kwao au nisiende binti hataki kusema. Nikampigia dada ake binti kuwa vipi niende kwao?? Dada yake akasema niende.
Hapa nilipo najiaandaa kwenda. Ni mkoa jirani. Ni mwendo wa masaa 4 tu ntakuwa nimefika.
nipe sababu tatu kwanini uende?Kwa hyo nisiende.???
Bandeko ya Basi, Izali na Bampasi Mingi

Acha tuuuSasa huyo mwanamke amekukubali vp wakati alikuwa ana mchumba na mahali katolewa kama sio tamaa na umalaya? Huyo mwanamke anastahili kupigwa mawe hadi kufa kwa kuumiza mtoto wa mwanamke mwenzie asiye na hatia.
By the way nyie wanaume mnaohudumia wanawake mnapatikana wapi jaman nije