Nimevunja uchumba wa watu

Lakini pia ana moyo sana [emoji23][emoji23][emoji23] maana anakula sehemu ambayo anajua kabisa kuna jamaa mwengine nae anakuja kuingiza mzigo
Sasa kumnyandua demu ambaye unajua ana mtu mwingine ugumu unatokea wapi??..si ndo cheating yenyewe ambayo ni common tu kwenye dunia ya sasa??
 
Mkuu uoga wako ni kuwa kuna siku jamaa atagongewa na mshkaji??

Muda mwingine mwanaume unaweza kubadilisha akili ya mwanamke..
Aaha mkuu tena anaweza mpa penzi siku ilee ambayo unaenda kumuoaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maana hujui mkuno aliokuwa anampa jamaa na wewe una utafauti gani...
 
Geto kwa demuu... labda anataka amuoneshe jamaa kuwa yeye ndo anapendwa sanaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwsho wa siku demu ni miyeyusho, namuombea mungu jamaa asibadili maamuzi ikiwezekana hata mahari awaachie ili laana impate vizuri huyo demu
 
Aaha mkuu tena anaweza mpa penzi siku ilee ambayo unaenda kumuoaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maana hujui mkuno aliokuwa anampa jamaa na wewe una utafauti gani...
Hii ngoma kweli ngumu
 
Kosa sana...ila lisafishe kwa wema...muoe...
 
Acha ufala wee!

NAWE YATA KUKUTA, KAMA SIO KWAKO, KWA MWANAO AU WIJUKUU ZAKO.
 
Huyu anachukulia hili swala kama sifa kwake kwa hadhira anayoisimulia, hajiulizi kama binti ameweza kumkaribisha home na akampikia akala huku akijua ndoa ipo karibu kbs, yeye pia anaweza fanyiwa hivyo maana hakuna maajabu yasiyojirudia.
Itakugharimu wewe na uzao wako, asilimia 99 ya matatizo yanayowakumba wanadamu na uzao wake ni ya kujitakia.
 
Daaah mzee unanirudisha nyuma sana
 
Got something here.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…