Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,258
- 125,023
Sitoi namba zangu Kwa PM labda email nyie mnaouliza namba Kwa Nguvu ni wasumbufu ntawaanika Hapa live
Kheeee.....sasa mawasiliano yatakuwaje mchumba?
Sitoi namba zangu Kwa PM labda email nyie mnaouliza namba Kwa Nguvu ni wasumbufu ntawaanika Hapa live
Staki wachagga nimeshakwambia
Staki wachagga nimeshakwambia
Sitoi namba zangu Kwa PM labda email nyie mnaouliza namba Kwa Nguvu ni wasumbufu ntawaanika Hapa live
jf bana ina raha yake. Pamoja na ukweli kua kila mtu anayo haki ya kuchagua anachokipenda lakini vigezo vingine vinatiga mashaka hata kwa wenye nia?mfano huyu anataaka sijui digree mara mwenye umbo la wastani.sasa mimi najiuliza huko ndani munaenda kuish kwa dgree zenu?au hilo umbo?mimi najua mke mume niyuletu mutkayeendana kitabia na kupendana mukaweza kuyaendesha maisha basi.hayo mengine ni mbwembwetu.mkuu hapa kupata mke mweama kwa mtaji huu sahau
Hahaaa huyu mchumba ni mtataaa...sijui ntakuwepo kwenye shortlisted candidets? Asipaone miss chagga hapa lol
Tena we ndo staki hata kukuskia mazafantazz,I wish hata ningekuona nikunase vibao kwanza nitulie
Mbahili my foot karibia kitunda ujionee
Gademu wanawake wengine mmelelewa chooni you know,wewe utakuwa mbebez umejichokea JF yote hii gademu
We naona ntaishia kukugegeda tu coz huna adabu
Ntakula sahani moja na wewe gademu