kila la kheri mtafutaji, na Mungu akusimamie ktk hili....!
upate ubavu wako kweli na si wa mwingine....!
ukimpata tujuze tafadhali as for me nakuombea....!
Chagga is the tribe that's the ODD MAN OUT kwenye list ya wachumba ninaowatafuta-sorry to say but it's the truth,truth hurts but heals the wounds
Ule mkoa ambao haunaga kuambiwa karibu, ukifika kibao kinasema "sasa unaingia....."
Ni vizuri pesa ikipiya mlangon penzi inapita dirishani mi si mwongo nasema kweli nenda kwa wanaokudanganya wanakupenda hata ukiwa huna hela
Acheni ukorofi na sifa Za kuharibia watu wanaotafuta wenza wao
Wewe unafikiri Mimi Sina hela,nawezaje kumuhudumia Mke bila hela acha pupa wakati wa kujadili Ishu Za msingi
Nimeshaweka nlichonacho and more Kwa waliofit naongea nao wewe naona una matatizo please give me some space
Ngoja na Mimi nijaribu ila PM naona Kama Za kutosha
Sawa Sina hela ila nadhani wewe huwezi nifikia hata robo yake
atatokea kwenye screen hapo akupasue hiko kichwa jamaaanahasira hadi kwenye keyboard