Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,539
hahahahahaha space ya PM haitoshi mura? ........ huna hela bwana acha hizo mbona hasira?
hahahahahaha space ya PM haitoshi mura? ........ huna hela bwana acha hizo mbona hasira?
Unilishe wewe usitake niweke any asset Hapa Kwa jamvi nkt
Tyta bye kachukia mwenzio
Mie nina hzo sifa lakn miaka 24 nakufaa??
Ukija Kwa PM kunisumbua tena nakuanika nimechoshwa na mambo yako
Kweli aya.
Acheni mambo ya kijinga Kwa PM sasa hivi nawaanika wote Hapa
Mis
He
E
Mo
Mkiendelea naweka full names Hapa
Huyo mis nna wasiwasi ni mke mwenzangu miss chagga. We mwanamke mume wetu si anatutosha? Ya nini kusumbua watu sasa
Hahaha afu kama vile jina lako limo ktk shortlist ya jamaa vile....hapo chini