hapa kidogo umenikosha naweza kuja pmNina Mahala pa kulala I thank God,sipandi daladala pia nashukuru Mungu
Ps:sijisifu naomba nieleweke hapo
Account yangu inatosha kumuhudumia nitakae kuwa Naye na mbali na yote Mimi ni mkulima na Mjasiriamali wa KILIMO
Nafikiri inatosha
Sikuhizi wachumba tabu maana hasa kwasisi tulokuwa hatujirushi,mimi huu mwezi 6 natafuta hapa uk Mtanzania mwenzangu sijampata na kule Africa huwa nikienda wanakula helazangu nikiondoka wana mabwanazao basi tabu tu .
Karibu miss Chagga

I already have a sample space to choose from karibu
Nitakupata vipi bongo kubwa
Mchumba mbona mkali hivi, huko ndoani si itakuwa ni vitasa tu?
Ametokea kanda maalumu ya Police pale mbele ya Bunda kama unakwenda Kenya na wakija Dar huwa wanapenda kukaa Kitunda (naongea kwa mafumbo asije akanipiga vitasa)
Ndo mana siwezi kuwa na mchagga nlishaapa Kwa mama yangu mpenzi