Nimevumilia sasa nimeona nitafute mchumba

unaonaje ukafungua NGO ya social issue na ukatangaza ajira kwa vigezo ulivyo vitoa na ukatumia nafasi iyo kuchagua mchumba....kwa sababu tangazo lako linalingana sana na Job application.....Pole kwa kuchoka kuwa single ila jiandae na vishindo na mateso ya kuwa na mke....fanya mazoezi kwa sana vinginevyo unaweza kufa kwa pressure....dada zetu hawa fulll stress...
 
Kila MTU ni mchamungu ila inatofautiana ukitaka mchamungu utapata wakina Delila wengi
 
unaonaje ukafungua NGO ya social issue na ukatangaza ajira kwa vigezo ulivyo vitoa na ukatumia nafasi iyo kuchagua mchumba....kwa sababu tangazo lako linalingana sana na Job application.....Pole kwa kuchoka kuwa single ila jiandae na vishindo na mateso ya kuwa na mke....fanya mazoezi kwa sana vinginevyo unaweza kufa kwa pressure....dada zetu hawa fulll stress...

Sasa ntafanyaje ndugu niendelee kuwa single unataka nife mkuu
 
Naam kila MTU ni mchamungu na ndo maana hata ufanyapo jambo au uamkapo asubuhi humshukuru Mungu
 
Ndio maana nikakuuliza unazungumzia Mungu yupi maana kuna watu hawaamini uwepo wa Mungu
 
Sijui Kwa nini mnafanya utani Kwa PM,you hurting me you know
 
hmna kuoa ndo utaratibu mkuu....na naamini miaka 35 inatosha kuhimili vishindo vya ndoa...nilioa nikiwa na umri uwo mkuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom