Nimevumilia sasa nimeona nitafute mchumba

Nimevumilia sasa nimeona nitafute mchumba

sasa frank vigezo mbona balaaa wng mhh maana kayumba hakuna ndoa haya chuooo pateni ajira hapa ila sije pata mwenye degree kesho ukarudi unatuambia bora mama wa nyumbani na darasa lasaba me ila umenifurahisha we unataka mchumba sio mke wa kuoa
 
Kwani mchumba si ndiyo anapelekea mke au Vipi somoye-angalizo tafadhali ni PM
 
haaaaaa bro wachumba ata elfu unaweza kuwa nao tu kwani ukisoma tushine lazima ufanye mtihani wa mwisho mhh
 
Lol sikusomi mkuu,hapa mjini unamiliki Ni Ni? Na ac Yako inasomaje ?

Nina Mahala pa kulala I thank God,sipandi daladala pia nashukuru Mungu
Ps:sijisifu naomba nieleweke hapo
Account yangu inatosha kumuhudumia nitakae kuwa Naye na mbali na yote Mimi ni mkulima na Mjasiriamali wa KILIMO
Nafikiri inatosha
 
Ha ha ha so unataka ataje account inasoma sh ngapi,Mshahara wake na ana miliki mali zipi?

Namna hiyo...maana vigezo vya mwanamke anaemhitaji ameviweka mezani,ingebidi na yeye aviweke sio mpaka PM. PM ni kwenda kukubaliana...nakujuana vya ziada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom