nimevamiwaaaaa

Kwani mie namtaka honey? Kwako nimefika, sisikii wala sioni! Nashangaa huna imani na mimi.

hivi wewe hujui kama ni mwanamke mrembo ndio maana midume miudenda inawatiririka
 
hivi wewe hujui kama ni mwanamke mrembo ndio maana midume miudenda inawatiririka
Sasa ndio unataka kutafuta nyumba ndogo jamani? Wewe badala ya kunisaidia unanitenga zaidi. Daah.
 
afadhali kubwa la maadui upo maana maana uyu mzee wa ndyofu kutoka arachuga kila anapopita ni utata mtupu,

ha ha haaaa!!! anaharibu configurations nini? embu mping uone kama bado yupo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…