hivi we umepona?
Kisa alivokuja kipindi kile alikupa ofa ya ndyofu au? Mbona mie niko Mwanza wala hunitafuti sis?
Atajulia wapi? Ye muache ntatangaza kumuacha siku sio nyingi.Ina maana hujui!?
Atajulia wapi? Ye muache ntatangaza kumuacha siku sio nyingi.
Mambo darling
uwa hatunaga maneno mingi.....lol
Uache kabisa hiyo tabia Erickb52, handsome buoyi kama wewe kudanganya wenzio Mungu hapendi.Hehehee
uwa hatunaga maneno mingi.....lol
Elizabeth Dominic na charminglady iyo dry gin mliinywa wote kumbe, haki ya nani... sijui tu maana soon tunawapoteza
Uache kabisa hiyo tabia Erickb52, handsome buoyi kama wewe kudanganya wenzio Mungu hapendi.
Haya msalimie sana nanilii (kipenzi cha roho yangu).....afu usisahau kupita kwa shangazi ulete........(jazia hzo dash) kwaajili ya x'mass!
Mwisho kabisa utanikuta stand nakusubiri.
Kwani we ulidhani mie ni memba wa wapi Filipo?