Si kweli mkuu mm namaliza mwezi wa sita sasa bila kukamatwakwa trafiki hawa wa magu labda kama yupo chato ila mjini hapa hawezi kuendesha wiki bila kulipia asikamatwe na trafiki
Wewe jamaa hupendagi ujinga kama Sizonje[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mi binafsi nimenunua gari kwa MTU na sijabadili umiliki mpaka sasa gari inadaiwa zaidi ya milioni na sibadili mpaka aliyeniuzia akamatwe ili anilipie road licence
Kama ana nyaraka za mauziano zitamsaidia
Kama mnunuzi analipia au halipii unaweza kutizama hata kwa simu yako mkuu kujua kama alilipia ama laa kwa kutumia namba za usajili za gari ili upate jibu la awali,h lakin pia fuata ushauri wa mshana jr kama nyaraka tajwa unazoNuliuza gari 3years back... Sasa sikufanya transfer na hio gari sijui iko wapi kwa sasa.. Nilie muuzia hapatikani...ushauri wenu muhimu jinsi yakutoa jina langu kwenye ownership
tuma nano ASSESS TABC123 kwa herufi kubwa , TABC123 weka namba yako utajua kama inadaiwa, kama inadaiwa na hajalipa muda mrefu huo msalamshana jr na wachangiaji wengine... Yani hapa nilipo nishachanganyikiwa...mpaka sasa ilikua haidaiwi Road licence...ninazo nyaraka zote Mm nilivo nunua mpaka gari ilivo Ingia.. Nilie muuzia alichukua tu original card akasepa...mkataba wa Mm kumuuzia wala sijui upo wapi
Jaribu kuangalia Kwanza km inadaiwa na tra piga*152*75# kwa namba ya tigoNuliuza gari 3years back... Sasa sikufanya transfer na hio gari sijui iko wapi kwa sasa.. Nilie muuzia hapatikani...ushauri wenu muhimu jinsi yakutoa jina langu kwenye ownership
Juu ya yote itabidi ajue status ya umiliki ili gari lisije kufanya tukio halafu msala umwangukietuma nano ASSESS TABC123 kwa herufi kubwa , TABC123 weka namba yako utajua kama inadaiwa, kama inadaiwa na hajalipa muda mrefu huo msala
Just forget about road licence.. Imagine gari ikipigwa faini, alafu asilipe then gari ikae garage... Baadae si nakamatwa mmKiufupi mfumo wenu wa Road licence ni wa kinyonyaji na uliopitwa na wakati. Huwezi kuchaji chombo kwa generalisation kama hiyo. kuna vyombo havipo nchini kuna vyombo vibovu havitembei sasa kuvitoza kodi ni uonevu. Mimi nashauri TRA wafate mfumo wa Zanzibar ambapo hakuna tozo ya moja kwa moja ya Road Licence. Ila kodi imewekwa kwenye mafuta kwa kiasi kidogo tu yaani haimuumizi mwananchi. Sasa yule anaendesha sana ina maana ndo analipa sana. Na yule ambae amepaki tu gari yake halipi. Ndio maana wahindi wanasema "Dogo dogo jingi nashinda kubwa moja"
mshana jr na wachangiaji wengine... Yani hapa nilipo nishachanganyikiwa...mpaka sasa ilikua haidaiwi Road licence...ninazo nyaraka zote Mm nilivo nunua mpaka gari ilivo Ingia.. Nilie muuzia alichukua tu original card akasepa...mkataba wa Mm kumuuzia wala sijui upo wapi
Mkuu bado mnaishi kwa mazoea eti? Ntawatumbua sasa hivi, mimi huwa sijaribiwi na ninasema msini-dulaivu kabisa!!Chief husiumize kichwa...ukiwa na kama 250k..nenda TRA pale Samora...mdake mtu mmoja mpe story..atachezesha deal..baada ya saa moja na nusu.unapewa kadi likiwa na jina la jamaa..then jamaa atakutafuta..make hataweza lipia kodi.."ili work enzi za mkwele..sijui kwa Aucle kama itawezekana:
Heshima yako mkuuMkuu bado mnaishi kwa mazoea eti? Ntawatumbua sasa hivi, mimi huwa sijaribiwi na ninasema msini-dulaivu kabisa!!
Chief husiumize kichwa...ukiwa na kama 250k..nenda TRA pale Samora...mdake mtu mmoja mpe story..atachezesha deal..baada ya saa moja na nusu.unapewa kadi likiwa na jina la jamaa..then jamaa atakutafuta..make hataweza lipia kodi.."ili work enzi za mkwele..sijui kwa Aucle kama itawezekana:
So ndio kwan kadi hzo anazoMmh affidavit ni hati ya kiapo kama huna baadhi ya nyaraka hasa birth certificate
Mi binafsi nimenunua gari kwa MTU na sijabadili umiliki mpaka sasa gari inadaiwa zaidi ya milioni na sibadili mpaka aliyeniuzia akamatwe ili anilipie road licence