Nimeumizwa

Pole sana jamani,kweli inauma,
In short send to me ur email not ur phone.then i will give u something then utasimulia.it should go first to you.
do this now please.....
 
Pole sana jamani,kweli inauma,
In short send to me ur email not ur phone.then i will give u something then utasimulia.it should go first to you.
do this now please.....

vp tena Monaco au ww ni Ng'eke2ng'amba, waupyaisha mahusiano yaliyovunjika!
 
Pole, move on. Kuna kitu chaja, but move on. Hapa zaidi ya 99% wametendwa na haijalishi, ila kinachotufanya tuishi ni kuangalia mbele daima. Silence ni jibu zuri sana na hatakuelewa unawaza nini na for sure kesho atakuja kukuomba arudi, usifanye kosa la kumruhusu kirahisi, maana atakuwa amekuja kupata opinion ya mawazo yako.
 
Mi ni msichana aged 25, nimeona nije hapa nimwage mauchungu yangu i believe t will help. Nimekuwa na boyfriend for almost three years nilimpenda mnooo naye alionekana kunipenda alinijali n.k yaani he was agud man tulienjoy nakupendana, siku kama nne hivi zilizopita nashangaa anakuja na kuniambia kuwa ana mchumba alikua naye b4 me na muda wa kuoana umefika, mpaka sasa hivi nashindwa kuelewa hakuonyesha dalili za kuwa na mtu hakutaja na alikuwepo whenever I needed him, im hurt beyond... sijawahi jisikia hivi moyo unauma kuliko ambavyo nimewahi kutuma, I feel confused sijui cha kufanya sijui jinsi ya kureact. Ndo nikaona labda nijimwage hapa lbd itasaidi maana zimepita siku kama tatu nne sioni relief.

hi pole but do not take lara 1 advice violence will not do any good ... you just have to know its ok, its ok to want some one you cant have , its ok to want something more , its ok to cry when you are hurt , its okey to stay mad at some one who hurt you , beliave it or not its always going to be okey .

thats just how it works . sometimes things dont workout how you want them to and most of the time it seems they never will , but eventually everything is going to iron out some or another .

you just have to believe , keep faith and move on!

tumblr_md99zhGB0B1qa29c9o1_500.jpg

The best way kumkomesha mtu kama huyo ni kumpotezea (najua ni ngumu) and do your own things. jifanye kama vile break up haijakushake kabisa wala kuteteresha maisha yako. kupunguza machungu, usikae peke yako mda mrefu, go out with friends and hakikisha unapendeza kupita maelezo. Kama inawezekana tafuta shule usome na usake pesa kwa nguvu zote. Hakikisha jamaa akisikia habari zako ni positives tu.
This have worked for me, na mara nyingi wakiona unasonga mbele positively huwa wanarudi kuomba msamaa. na hapo ndio itakuwa zamu yako kurevenge.
Pia Bi dada ebu punguza kuzubaa, mwanaume anafikiaje kupata mchumba mwingine bila ya wewe kujua?

Pole sana lakini.
 
Pole sana.

Sikiliza wimbo mpya wa Diamond unaitwa: "Nataka Kulewa".

Unaweza kugoogle.
 
hi pole but do not take lara 1 advice violence will not do any good ... you just have to know its ok, its ok to want some one you cant have , its ok to want something more , its ok to cry when you are hurt , its okey to stay mad at some one who hurt you , beliave it or not its always going to be okey .

thats just how it works . sometimes things dont workout how you want them to and most of the time it seems they never will , but eventually everything is going to iron out some or another .

you just have to believe , keep faith and move on!

tumblr_md99zhGB0B1qa29c9o1_500.jpg

Thank u much, nimekusoma vizuri kbs, b blsd
 
The best way kumkomesha mtu kama huyo ni kumpotezea (najua ni ngumu) and do your own things. jifanye kama vile break up haijakushake kabisa wala kuteteresha maisha yako. kupunguza machungu, usikae peke yako mda mrefu, go out with friends and hakikisha unapendeza kupita maelezo. Kama inawezekana tafuta shule usome na usake pesa kwa nguvu zote. Hakikisha jamaa akisikia habari zako ni positives tu.
This have worked for me, na mara nyingi wakiona unasonga mbele positively huwa wanarudi kuomba msamaa. na hapo ndio itakuwa zamu yako kurevenge.
Pia Bi dada ebu punguza kuzubaa, mwanaume anafikiaje kupata mchumba mwingine bila ya wewe kujua?

Pole sana lakini.

asante nimekusikia, daha lbd nilitrust sana ndo maana sikushtukia n alisema huyo mchumba alikua b4 me sikujua tu!!
 
Mwanamke anayaweza "kukaa na mwanamume" miaka mitatu bila kufahamu kama huyo mwanamume anayo mahusiano mengine ya dhati na mwanamke mwingine, huyo mwanamke ni kahaba au malaya..!
ni kama vile sikutaka kuchangia huu uzi!manake niliona umeenda sana!
ila baba _enock umeongea fyongo sana i see!
 
Last edited by a moderator:
sikia divalicious
maisha yetu yana thamani sana!huwa hakuna replacement ya moyo wako!
thamani ya nafsi yako unayo wewe ndani yao na katika maisha yako
usiruhusu mwenzi aliyekuumiza jana,juzi na leo akuumize na kesho!
una nafasi ya kuwa na furaha bila yeye kuwepo kwenye maisha yako!
maana FURAHA YA KWELI IPO NDANI MWAKO!
NYANYUKA ,FUTA VUMBI,INUA MACHO,TABASAMU ,ISHI !
 
Last edited by a moderator:
asikwambie mtu mwanaume wa maana kumpata ndani ya miez 3 sio rahisi hvo,may be wavaa suruali ndo wengi. Ukweli wanaume ni wachache, na hapo kwa uchache huo Toa mashoga,wasiotaka kuoa wala mahusiano,Toa pia waliooa,haya wanabaki wangapi?kweli si kazi rahisi ni muujiza tu wa mungu utendeke

Umenibariki sana mrembo.
 
Hivi kuna watu bado wanapenda wanaume kwa roho, akili na mwili mzima? Maajabu haya pole mwaya

sio siri me zaman nilikuwa nikimpenda mtu nampenda kwa moyo wote sijali una kitu au huna bora upendo tu.lkn baada ya kutendwa sasa hivi me mwanaume kuwa na salio aka mshiko yan hata sikuangalii ndo maisha niliyoamua kuishi ss hivi.mapenzi nampenda my dad and mum lkn binadamu wengine ni mshiko tu.yan uwe unabadilisha magar,majumba na viwanja mbezi hapo tutapendana tena sana
 
hi pole but do not take lara 1 advice violence will not do any good ... You just have to know its ok, its ok to want some one you cant have , its ok to want something more , its ok to cry when you are hurt , its okey to stay mad at some one who hurt you , beliave it or not its always going to be okey .

Thats just how it works . Sometimes things dont workout how you want them to and most of the time it seems they never will , but eventually everything is going to iron out some or another .

you just have to believe , keep faith and move on!

tumblr_md99zhgb0b1qa29c9o1_500.jpg

its okay kuliwa for 3 years na kuachwa!!!!!!!! Its okay kumuhudumuia mtu 3 years aolewe mwenzio!!!!!!!!!! Hongeraaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!! Imaraaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!! Waaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
 
The best way kumkomesha mtu kama huyo ni kumpotezea (najua ni ngumu) and do your own things. jifanye kama vile break up haijakushake kabisa wala kuteteresha maisha yako. kupunguza machungu, usikae peke yako mda mrefu, go out with friends and hakikisha unapendeza kupita maelezo. Kama inawezekana tafuta shule usome na usake pesa kwa nguvu zote. Hakikisha jamaa akisikia habari zako ni positives tu.
This have worked for me, na mara nyingi wakiona unasonga mbele positively huwa wanarudi kuomba msamaa. na hapo ndio itakuwa zamu yako kurevenge.
Pia Bi dada ebu punguza kuzubaa, mwanaume anafikiaje kupata mchumba mwingine bila ya wewe kujua?

Pole sana lakini.

HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!! IMEBIDI NICHEKE IN CAPITAL LETTERS!!!!!! SASA HAPO UNAMKOMESHA AU UNAMPA UHURU ZAID WA KUJIACHIA NA KITU KIPYA!!!!!!!!! BRAND NEW!!!!!!!!!!!! WIFE MATERIAL!!!!!!!!!!!

Naomba nimpe pobgezi MAZAFANTA Bwana Harusi kwa KU DELETE HIS PAST, NOT PAYING FOR HIS CRIMES, NA KUSAMEHEWA WITHOUT EVEN SAYING SORRY!!!!!!!! n PEOPLE LIKE U FOR MAKING THAT HAPPEN!!!!!!!!!

MY KISSES TO THE NEW BRIDE!!!!!!!!!!!!!! MWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH!!!!!!!!!!!!
 
Duh, lara1 wewe ni gaidi zaidi ya Osama aisee. Ciello, preta na mwenzenu lara1 hebu changanyeni maujuzi mnaweza kugundua mborometer, hapo mtawakomesha wanaume manunda. Teh teh teh, kazi kwenu. Pole sana mleta uzi, Diva!

Hahahaaaaaaaa!!!!!!! MAISHA YENYEWE HAYA ALSHABAB!!!!!!!!!!! UKIZUBAAA TU UNAZIKWA HAI!!!!!!!!!!!! Naomba wimbo wa Buffallo Soldiers wa Bob Marley ukuburudishe jioni ya leo
 
Pole sana mwanadada, hiyo ni sehemu ya maisha (changamoto). Limetokea na huwa yanatokea kwa wengi- si kwako tu. Huyo mh alikuwa anakuchezea lakini sasa limetokea. Tulia wala usimfanyie chochote, omba mungu na atakuongoza na kukupatia yule wa kweli. Ila usikubali kuwa na uhusiano wa muda mrefu kwani unafikia kuchokana mapema na hapo ndipo mmojawapo hasa me anaweza kukukimbia. Miak mitatu ni mingi sana.Ndoa zenyewe siku hizi nyingi zinaachika mapema sembuse uhusiano?
 
ni kama vile sikutaka kuchangia huu uzi!manake niliona umeenda sana!
ila baba _enock umeongea fyongo sana i see!
endeleeni "kuumizwa" nyie "mlio uzao wa nyoka"...! Macho mnayo lakini hamuwezi kuona, masikio mnayo lakini hamuwezi kusikia...! shame on you...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom