Nimeumizwa

Napenda kujua unawalipishaje...na wewe ukiacha huwa unalipishwa
 
nimechekajeee.but kulia lia haisaidii we mwenzio yupo katulia we unalia lia???but umepata uzoefu sasa hutadanganywa tena sikushauri ufanye timbwili but we muumize roho toka na mwanaume mwenye mbesa zaidi yake nakwambia atahamia kijijin huyo.wanaume wengi sana utapata mwingine very soon acha kulia lia.cha kufanya sasa we uwe unapendeza zaidi ya zaman,tabasamu lisikauke usoni,jichanganye sana,uwe mwenye furaha nakwambia siku 90 nyingi utapata wa kuchagua
 
Amen n asante
 
Napenda kujua unawalipishaje...na wewe ukiacha huwa unalipishwa

Kuna mambo 3. 1. KUACHWA!!!!! Mnaishi uzuri tu, huna hili wala lie, mtu anaibuka na kukwambia mimi na wewe basi AS IF JUHUDI ZAKO ZOTEEE NA INVESTMENT ULIZOWEKA KWENYE HUO UHUSIANO MEANS NOTHING!!!!!!!!!!!! Who the F! is he kuamua iwe THE END!!!!!? What abt all that you are about to loose!!? HILI NDO NALIPINGAAA!!!!!!!! 2. KUACHANA!!!!! Hili nalibaiki kwa mikono miwili, wote mmeangali upepo mmeona THE SHIT AINT WORKING!!!!!! Mmerihia kabisa banaa eeeh LETS CALL IT QUITS!!!!!!!!! Kila mtu akasema FINE BY ME! Hapo shwariiii!!!!!!! NO BODY LOST ANYTING!!!!!! 3. KUACHA!!!!! Hili pia NALIPINGA!!!!!!! Who the F! are you kuingia maishani kwa mtu na kutoka utakavyo!!!!!!!!!? Tena bado mwenzio anakuhitaji, afu GHAFLA TU!!!!!!!!? ITS NOT ACCEPTABLE AT ALL!!!!!!!! Mimi nikimchoka mtu, NAMVUMILIA/NAFANYA VISA WEEEE mpaka Tufikie stage 2 ya kuachana SIO KUMKURUPUSHA MTU!!!!!!!

Kama mmeanza uhusiano kwa MAKUBALIANO basi muachane hivo hivo sio mtu kujifanya NUNDA sanaaa na mwingine kubaki VICTIM anaumia the rest of her life!!!!!!! HELL TO THE NO!!!!!!!!!!
 
Ushauri mzuri sana. Nakukubali sana dada.. Anachofanya lara 1 ni utoto tu. Akikua ataacha.
 
Last edited by a moderator:

aaah kumbe ndo ulivooo sasa ngoja nikatoe siri.me nakufahamu sana wewe tena ni .. sijui kama girlfriend wako ntamkumbuka but let me try.sikubali umuumize yule mdada hivihivi just wait
 
Hahahaaaaa! GOOD SPIRITS!!! ILA DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE!!!!!!! Siku 90 atampata wapi wa KUMUOA!!!!? Wanaume wa TABU kama nini siku hizi! WHAT ABT THE 3 YRS GOING ON THE DRAIN!!!!!!!!? Dont they MEAN ANYTHING!!!!!!! ANYTHING AT ALL!!!!!?

SAMAHANI LAKINI!!!!!! MAMBO YA WALIMWENGU HAYO!!!!!!!!!!!!
 
Tatizo mleta sred ni ile type ya kulialia na kwa mtindo huo atamegwa sana na kutemwa hana guts za kumfanyizia huyo kahaba wa kiume, angekuwa kimwana wa shoka ka mie huyo jamaa angeikumbuka cku alotiwa suna....amka bishosti chukua hatua
 
Ushauri mzuri sana. Nakukubali sana dada.. Anachofanya lara 1 ni utoto tu. Akikua ataacha.

We UNACHEKESHA KWELI KWELI!!!!!!!!!! Haachi mtu! NIKUA NI BALAAAA(Manake na resources ZIMEONGEZEKA HIO VITA YAKE NI NOMAAAAA)

Very PATHETIC IN DEED!!!!! Yaani mtu ANAKUPOTEZEA 3, 4, 5, BEST YEARS OF YOUR LIFE AFU UNAKAA UNA LIA LIA TU!!!!!!!!!! Wakati YEYE ANAENDA KWENYE ALTARE NA MUREMBO INGINEEE, HANA HABARI!!!!!!!! AS IF NOTHING HAPPENED!!!!!!!!!!! Unabaki "Nimemsamehe tu!!!! Iko siku!" Utangoja milele n NOTHING WILL EVER HAPPEN!!!!!!!!

We UNALIA huku wenzio ukumbini wako busy ALAELELELEEEEEE!! AIIIIIIIIIIIII! KAOA!!!!! JAMANI KAOA!!!!!!! Na tabasamu pana!

EVERY BODY SHOULD PAY FOR THE CRIMES THEY COMMITT!!!!!!!!! PERIOD!
 
Tatizo mleta sred ni ile type ya kulialia na kwa mtindo huo atamegwa sana na kutemwa hana guts za kumfanyizia huyo kahaba wa kiume, angekuwa kimwana wa shoka ka mie huyo jamaa angeikumbuka cku alotiwa suna....amka bishosti chukua hatua

AMEN!!!!!!!!!! Sema wewe manake nikisema mimi naonekana GAIDI OSAMA BIN LADEN LIMERUDI!!!!!!!!!! FUC*ING 3 YEARS OF YA LIFE N THEN ALL YOU DO IS CRY HIM A RIVER!!!!!!!!!!! Chinekeeeeeeeeeeee!!!!!!!!! I BEG OHHHHHHHHH!!!!!!
 
wanaume ni wengi sana bidada atapata tu mwingine labda awe hajaamua
 
mafala hao!!!!!!yaani mtu namwaga minanii yangu mpaka ukismama inakuchuruzika alafu uje uniltete uzushi kwa kukubwaga!!!!sio mimi!!

minanii kitu gani wewe mwanaume salio manii hata bata anayo tatizo unaonekana nawe mshamba mshamba tu
 
wanaume ni wengi sana bidada atapata tu mwingine labda awe hajaamua

SECOND CHOICE SIO NZURI KAMA 1ST CHOICE!!!!!!!!! Atapata lakini mwaya!!!!! DN'T MIND ME MWAYA WEEE!!!!!! UTAPATA BONGE YA PEDESHEE HANDSOME HADI ALOKUACHA ATAKUJA KUKUOMBA HELA YA MBOGA!!!!! Seriously YOU WILL THANK GOD IN ONE POINT OF TIME IN YOUR LIFE THAT THIS SHIT HAPPENED!!!!!!!
 
Hahahah mie namshukuru mola niko humble sana bt ukiingia kwenye anga zangu u wil see the other side of me lol,niliwah mliza jamaa mmoja alitoa machozi ka mtoto ilikuwa ishu tofaut ofkoz bt he said h wil nevr 4get na heshima juu...
AMEN!!!!!!!!!! Sema wewe manake nikisema mimi naonekana GAIDI OSAMA BIN LADEN LIMERUDI!!!!!!!!!! FUC*ING 3 YEARS OF YA LIFE N THEN ALL YOU DO IS CRY HIM A RIVER!!!!!!!!!!! Chinekeeeeeeeeeeee!!!!!!!!! I BEG OHHHHHHHHH!!!!!!
 
Tatizo mleta sred ni ile type ya kulialia na kwa mtindo huo atamegwa sana na kutemwa hana guts za kumfanyizia huyo kahaba wa kiume, angekuwa kimwana wa shoka ka mie huyo jamaa angeikumbuka cku alotiwa suna....amka bishosti chukua hatua

Sasa mimi nahangaika na drama girls kumbe mpo humu mmejificha, decent girls sometimes wanaboa ndo maana wanaachwa daily, mapenzi ni haki yako ya msingi lazima upiganie kulilinda penzi lako lilipo lisipotee kirahisi..

Vita za kulinda penzi ni zaidi ya great war as sio kirahisi rahiz hata mimi niporwe mchumba nicheke cheke tu.. Labda kama tulikuwa hatupendani lakini kama tulishatoana machozi ya upendo wote.. Lazima iwe vita
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…