Nimeumizwa sana na mapenzi

Nimeumizwa sana na mapenzi

chinkychinky

Member
Joined
Sep 24, 2020
Posts
18
Reaction score
170
Mimi binti miaka 26, elimu yangu nimejariwa kufika chuo kikuu. Shida yangu moja nimeshakuwa na mahusiano na watu wawili wakati tofauti.

Nina bahati mbaya ya kupata wote maplay boy kiukweli nimekataa tamaa na mahusiano kabisa najiona mpweke sanaa nahitaji marafiki wa kubadilishana nao mawazo jinsi zote mbili kwa mahusiano saivi kiukweli sihitaji nataka nijipe angalau miaka miwili kwanza
 
Mi kijana miak 26 elimu yangu nimejariwa kufika chuo kikuu shida yangu moja nimeshakuwa na mahusiano na watu wawil wakati tofauti shida Nina bahati mbaya ya kupata wote maplay girl kiukweli nimekataa tamaa na mahusiano kabisa najion mpweke Sanaa nahitaji marafik wa kubadilishan nao mawazo jinsi ya kike kwa mahusiano saivi kiukweli sihitaji natak nijipe angalau miaka miwili kwanza Mimi na wewe nadhani ni mapacha tunaweza badilishana mawazo piemu
 
Yaleyale
hivi ukiwa wa kwanza kwanza kukoment kuna tunzo yyte au ni ile furaha tu kuwa wote watakaokuja ktk huu uzi watabidi wasome koment yako hahahaaaaaaaaa
Mkuu usijali ndio hivyo tena amekuwahi, amekuwa wa kwanza.
Dada anataka mtu wa kubadilishana naye mawazo tu, vipi wewe hutaki kubadilishana naye mawazo?
 
Mimi ninaamini nyota kuhusu hili, tarehe na mwezi wako utajua wewe ni nyota ipi halafu Google ni me yupo unaendana naye, katika hilo angalia pia nyota ipi ipo juu yako maana itakusumbua kidogo, tafuta ile ambayo mko sawa na kama Una mapungufu rekebisha ili isije ikawa wewe ndio chanzo cha matatizo yako.
 
Pole sana, i know how you feel. Hii kitu inaumizaga sana hasa ukiwa unampenda mtu, jipe moyo usikate tamaa yatapita hayo , hakuna binadamu asiyepitia hali hii . Pole rafiki
 
Mi kijana miak 26 elimu yangu nimejariwa kufika chuo kikuu shida yangu moja nimeshakuwa na mahusiano na watu wawil wakati tofauti shida Nina bahati mbaya ya kupata wote maplay girl kiukweli nimekataa tamaa na mahusiano kabisa najion mpweke Sanaa nahitaji marafik wa kubadilishan nao mawazo jinsi ya kike kwa mahusiano saivi kiukweli sihitaji natak nijipe angalau miaka miwili kwanza Mimi na wewe nadhani ni mapacha tunaweza badilishana mawazo piemu
Pwagu na Pwaguzi 😂
 
Mimi ninaamini nyota kuhusu hili, tarehe na mwezi wako utajua wewe ni nyota ipi halafu Google ni me yupo unaendana naye, katika hilo angalia pia nyota ipi ipo juu yako maana itakusumbua kidogo, tafuta ile ambayo mko sawa na kama Una mapungufu rekebisha ili isije ikawa wewe ndio chanzo cha matatizo yako.
Karne ya 21 yenye maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia bado unawaza na kuamini mambo ya Nyota?
 
Back
Top Bottom