Nimeumizwa sana na mapenzi

Nimeumizwa sana na mapenzi

Mi binti miaka 26, elimu yangu nimejariwa kufika chuo kikuu. Shida yangu moja nimeshakuwa na mahusiano na watu wawili wakati tofauti. Nina bahati mbaya ya kupata wote maplay boy kiukweli nimekataa tamaa na mahusiano kabisa najiona mpweke Sanaa nahitaji marafiki wa kubadilishana nao mawazo jinsi zote mbili kwa mahusiano saivi kiukweli sihitaji nataka nijipe angalau miaka miwili kwanza
Njoo kwangu, manake nko kwa ajili yako.
 
Mama ukiyachukulia mapenzi siriazi utapata tabu mno kwenye hii dunia.

Unafanya kazi!unapata fweza!madam acha masihara kula maisha...

Mapenzi yakija nenda nayo..tafuta seksi patna huko hakuna cha habari ya I ❤️ u wala malengo sijui unanielewa

Hapa sasa itafanya kazi vizuri kama unavitoto vyako vinaendelea kukua huko..😅😅vinginevyo,bwana akutangulie aiseh maana utayatamani mahusiano kwa udi na uvumba ili uolewe uanzishe familia😌😌
 
Nakuonea sana huruma, hapa umekuja kutafuta tena ma prayboy wazoefu. Baada ya miezi utakuwa na kilio tena cha kuachwa na watatu.
 
Halafu ukiwa unahitaji kitu sanaaa hakiji.usiwe na mategemeo makubwa sana utaishia kuumia.

Uwe unajitoa autingi huko sehemu nzuri nzuri unazoweza kijihudumia.make sure unapendeza na kunukia vizuri(sio uanze kunukia udi na pafyumu ya kurusumu huko hapana)

Pendeza,nukia,nenda katembee huko usipate marafiki unamkosi gani kwani
 
Wewe binti tafuta hela.Hakuna kitu kinachomnyima mtu uhuru na kumpa taabu kama umasikini wa kipato!Umasikini wa kipato ni jela mbaya kuliko jela zote duniani.
👌👌👌
Hata kama ni shilingi mia mbili za kuuza juice lakini ni zako kuna magonjwa mengine automatically yanatoweka

Ukitegemea mwanaume akupe pesa kila siku,,utatteseka mnoo maana kuna wakati atakufanyia makusudi tu
 
Mi binti miaka 26, elimu yangu nimejariwa kufika chuo kikuu. Shida yangu moja nimeshakuwa na mahusiano na watu wawili wakati tofauti. Nina bahati mbaya ya kupata wote maplay boy kiukweli nimekataa tamaa na mahusiano kabisa najiona mpweke Sanaa nahitaji marafiki wa kubadilishana nao mawazo jinsi zote mbili kwa mahusiano saivi kiukweli sihitaji nataka nijipe angalau miaka miwili kwanza
We dada unashida mahali
 
Back
Top Bottom