Nimeumizwa sana na Kitendo walichonifanya Airtel

Nimeumizwa sana na Kitendo walichonifanya Airtel

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,689
Nmekuwa nikilalamika kwa jambo hili mua mrefu sana nikidhani pengine watajirekebisha. jana nimenunua kifurushi nikajiunga UNI255 NIKAPATA 1GB internet Bundle.usiku nikaingia kidogo kusurf jamii forum na mails. actually sikudownload hata kidogo. na leo pia nikaingia JF na kusoma gazeti moja tu la mwanaspoti online. kwa masikitiko Makubwa nakuta internet inakata kuangalia salio eti limeisha. Why are they doing this to poor us? why? nimeumia sana na hii imeanza kujenga chuki kwangu dhidi ya huu mtandao. coz i trusted so much na always nimekuwa nikipenda kjiunga vifurushi vyao but huu wizi ambao wameanza kuufanya kwangu si wizi si vyema. hata hiki kidogo pia wanatunyang'anya? sijajua ntakachoamua kufanya lakini nmeanza kupatwa na chuki na huu mtandao.
 
Jaribu kucheki data usage yako. pengine kuna background process zinakula bundle
 
una ushahidi kuwa wamelamba mb bila kuzitumia? kama dashboard au software nyengine? kama unao wapelekee tcra. kuna wakati sisi wenyewe tunakuwa na malware/background task zinazokula data na kuwalalamikia mitandao.

mimi huwa kwenye simu/pc nahakikisha nina software ambayo ina monitor matumizi yangu ya internet ili nijue nimetumia exactly kiasi gani cha data
 
Nmekuwa nikilalamika kwa jambo hili mua mrefu sana nikidhani pengine watajirekebisha. jana nimenunua kifurushi nikajiunga UNI255 NIKAPATA 1GB internet Bundle.usiku nikaingia kidogo kusurf jamii forum na mails. actually sikudownload hata kidogo. na leo pia nikaingia JF na kusoma gazeti moja tu la mwanaspoti online. kwa masikitiko Makubwa nakuta internet inakata kuangalia salio eti limeisha. Why are they doing this to poor us? why? nimeumia sana na hii imeanza kujenga chuki kwangu dhidi ya huu mtandao. coz i trusted so much na always nimekuwa nikipenda kjiunga vifurushi vyao but huu wizi ambao wameanza kuufanya kwangu si wizi si vyema. hata hiki kidogo pia wanatunyang'anya? sijajua ntakachoamua kufanya lakini nmeanza kupatwa na chuki na huu mtandao.

in other hand.. 1GB si kubwa sana kwa smartphone yoyote ya ukweli yenye speed ya internet. endapo application zimeji update zenyewe background na pia kama emails zina AUTO DOWNLOAD pengine kwa muda huo 1GB yako ilitumika kihalali.
 
1gb ni ndogo sana mkuu. Mimi kwenye i phone yangu nikibrowsre masaa matano tu kwisha
 
in other hand.. 1GB si kubwa sana kwa smartphone yoyote ya ukweli yenye speed ya internet. endapo application zimeji update zenyewe background na pia kama emails zina AUTO DOWNLOAD pengine kwa muda huo 1GB yako ilitumika kihalali.

Tuache kudanganyana mkuu...yani 1gb kwa ku surf tu iishe?? Hiyo ni simu gan???
 
Mi naona mngemuulza na simu yenyew ni simu gani..hyo 1gb inategemea na simu yke..kuna simu kwa kwel hyo 1gb kumalza ni issue..
 
na pia zima wireless kama ipo on..isije kua unarusha wireless afu wajanja wanaitumia
 
Pole sana mkuu,,bt nakushauri ufanye uchunguz kwanza wa matumizi yako ya data yalivyokua kabla hujawapa watu lawama,.
 
Jamaa umetiririka kwa simanzi sana aisee pole sana!
 
Wala usihangaike kutafuta mchawi, Airtel university wamepunguza bundle yao ya wiki na unapata mb 70 tu na dakika 145 za maongezi
 
Usijali waziri wako bwana makamba alisema yupo safarini na akirudi atashughulikia hili suala la "mb" maana kwa sasa limeshakuwa la kitaifa
 
UNI255 sasa hivi ni 70 MB tu kwa bundle la wiki. Nahisi haukucheki vizuri hilo eneo kabla hujathibitisha kujiunga
 
Hawa jamaa wanatunyonya sana jana nimenunua yatosha ya mwezi mzima ya shs 34,999/= nikaambulia MB 300 tu wakati zamani nilikuwa napata 1.5 gb
 
Hahaha malalamiko ya mtoa mada yamenibidi nichekie.1 gb imeisha fasta hivyo hebu sema siku hizi usikute mb zinatumika kuendana na aina ya kasimu.
Wewe simu yako aina gani usikute unatumia Singsung h10.hahaha
 
Tuache kudanganyana mkuu...yani 1gb kwa ku surf tu iishe?? Hiyo ni simu gan???

Mu natumia 800mb kwa wiki na kweli nafikisha iyo wiki.
Mkuu angalia vizuri na simu yako kama kuna apps unazoziacha online zikawa zinakula bundle yako. Ungeanza upekuzi kwanza wa simu then ukipata jibu 100% ndi uwavae mtandao husika
 
Back
Top Bottom