Nimeumia sana kuona mke wa mtu anazini ndani ya usafiri wa umma, tena akiwa na mtoto mdogo

ila jamani mi napitiaga uzi wa kimasihara ila mwanamke kufikia hatua hiyo ni hatari
Je wewe sio hatari kufuatilia maisha ya watu kiasi ya kuhangaika siuendelee na maisha Yako wewe mwenyewe hujui unakoelekea hadi ukomment ujinga .

Unamsema mwanamke mwenzio uonekane unaakili kumbe Wala
 
mkuu

mkuu......acha kuongea vitu hujui halafu sio kila kitu lazima uweke ujuaji na ubishi..
Usidanganye uma mm nimepita mwanga nikawapa wanangu hi nikasepa moshi na nikarudi mwanga usiku tena kuchukua mazaga ww unadanganya uma unasema naleta ujuaji
 
Ukiwa unaleta chai usitaje maeneo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ watu tunapita kila siku hapo mwanga leo yenyewe nimepita narud town alaf unaleta tararira nyingi sjui lori sjui limeziba njia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ labda mwanga ya kigoma au ulikua unandoto za mchana acha kuweweseka dogoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usidanganye uma mm nimepita mwanga nikawapa wanangu hi nikasepa moshi na nikarudi mwanga usiku tena kuchukua mazaga ww unadanganya uma unasema naleta ujuaji
sasa ww kwa akili yako ndogo unadhani humu jf kuna wewe tu.....kuna watu na mamlaka yao(Tulikuwa na polisi wa barabarani kama frank na martin kutoka hapa moshi mjini kwenye tukio hilo)......na ndo maana nimetoa na hilo eneo kama udhibitisho nikijua kabisa ninachosema ni halisi na sijatunga.......ukipata muda kaulize pale stendi ya Moshi mjini ........mabasi ya dar yameingia saa ngapi kutoka dar........narudia tena acha ujuaji na ubishi usio na tija.
 
Mamlaka gani bwana na polisi hao hawana kazi wakafuatilie watu wanaokulana machakaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na walichukua hatua gani alaf frank na martini hayo ni majina tu au unahisi tutaamini kisa umesema uko na polisi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pika chai nzuri ukampe na mkuu wa kituo anywe na hao kina frank na martiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unatetea chai na mapolisiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hao ni walinzi wa mali zetuπŸ˜‚πŸ˜‚kama hujui
 
Je wewe sio hatari kufuatilia maisha ya watu kiasi ya kuhangaika siuendelee na maisha Yako wewe mwenyewe hujui unakoelekea hadi ukomment ujinga .

Unamsema mwanamke mwenzio uonekane unaakili kumbe Wala
Acha kujikuta umeshindikana ww......sote tunakosea na hakuna aliyesema hakosei na wenyewe kwann wafanye kitendo cha siri mbele yetu..........acha kujikuta mdogo wa shetani.
 
Iliwahi nitokea sema nilimuonea huruma yule manzi baada yakujua wahuni wamemlewesha madawa Ndio wakampakia kwenye basi baada ya kumnaniliu wanamrudisha Dar
 
Acha kujikuta umeshindikana ww......sote tunakosea na hakuna aliyesema hakosei na wenyewe kwann wafanye kitendo cha siri mbele yetu..........acha kujikuta mdogo wa shetani.
Shetani ni wewe na Mimi ndio mdogo wako Sasa niaje bro
 
Mamlaka gani bwana na polisi hao hawana kazi wakafuatilie watu wanaokulana machakaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na walichukua hatua gani alaf frank na martini hayo ni majina tu au unahisi tutaamini kisa umesema uko na polisi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pika chai nzuri ukampe na mkuu wa kituo anywe na hao kina frank na martiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unatetea chai na mapolisiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hao ni walinzi wa mali zetuπŸ˜‚πŸ˜‚kama hujui
sasa mkuu hujui hata polisi walifata nini hapo.......halafu bado unakaza.......aiseee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom