Nimeumia sana baada ya mwanamke kunichezea na kuniacha

Nimeumia sana baada ya mwanamke kunichezea na kuniacha

Ahsante mkuu kwa mchango wako

ImageUploadedByJamiiForums1410493303.718377.jpg
Welikamu
 
Sijaelewa hapo kwenye Nyekundu, Kakuchezea sana na kukuharibua ujana wako? ulikua nae miaka mi3 huo ujana ameuharibu vipi naomba unieleweshe.........

Kanitoa bikira yangu ambayo I wish angenitoa mke wangu
 
mbona jina lako linamaanisha kazi unaiweza,piga mzigo mwanaume hachezewi,anachezea ,gonga ngoz baba uone kama atabanduka.
 
hahahahaha hiyo ni nature tu mungu aliumba sie tuwafwate nyie kwanza ndio tugegedane,ila nyie mnai-abuse kwa kutupiga mihela lione,tena wewe inaonyesha bila miaka 2 ya kupiga mingo na mihela kibao ya shopping na vocha hujagegedwa :cool2: :cool2: :cool2:

Ha ha ha ha umejuaje ha ha ha
 
amekuharibia ujana wako namna gani?unachekesha kweli wewe?????????????
 
amekuharibia ujana wako namna gani?unachekesha kweli wewe?????????????


Yaa kweli kamharibia maana alijitunza mpaka aje kuoa tatizo amekutana na ji kahaba wakati yeye ndo mara ya kwanza,mijitu kama hiyo waachieni magumegume.Yeye aendelee kutulia atampata wa kufanana naye.
 
Jerrymsigwa

Nikaribie kipi hapo mkuu kilichopo kwenye sufuria or icho kinachochomwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom