Nimeumbuka

Nimeumbuka

Nina mashaka na wewe yaani muda wote huo we upo na mademu tu huna hata mshikaji wako wa kiumeni?
Mala mwanamke huyu kutoka home upo na wanawake eeee
Nina mashaka na tabia zako
 
Kwahiyo zile mbwembwe na mashauzi ya kihardcore ulilazimishwa kutuambia????
Mimi ni Bahili Sana Mkuu. Ndio maana mademu wengi sikai nao. Akijitahidi miezi mitatu tuu. Si unajua Hali ya jiji la Daudi.
 
Nina mashaka na wewe yaani muda wote huo we upo na mademu tu huna hata mshikaji wako wa kiumeni?
Mala mwanamke huyu kutoka home upo na wanawake eeee
Nina mashaka na tabia zako
Endelea kuwa na Mashaka tuu. Washikaji wa nini wakati hawana Papuchi.
 
Si unaona sasa aibu uliyoipata kwa kugonganisha papuchi matokeo yake jamii itakuona kama ni kijana malaya pole sio sifa nzuri haswa wakati huu ambapo ndo umemaliza na unatafuta kibarua
 
Ni kweli Mkuu. Umalaya si Sifa nzuri.

Ila sitafuti kibarua Kama udhaniavyo. Nilipanga safu nzuri ya mipango na Mikakati. Kwa Sasa Nina vijana watano nimewaajiri. Na nimepanga self container. Kwa ujumla nimejipanga na mipango imepangika.

Umalaya nitaupunguza Mkuu
 
Asante kazi njema
 
hadithi haijaisha hii mkuu

rehema wa australia na asnath wa bongo bado wanaendelea kupigana
hapo m'city au?

mawasiliano yenu yapo vip kati
yako na hao mabondia baada ya ugomvi?
 
Uandishi mzuri sana..kweli unastahili madem wakali na haswa adi kufikia atua ya kukugombania..ingekua mm cjui ingekuaje mbio zake..
 
Back
Top Bottom