Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,701
- Thread starter
- #101
Mkuu subiri nitulie nitatoa mkasa mzima. Maana hawa wadada walipa simulizi zima baada ya Mimi kuwakimbiahadithi haijaisha hii mkuu
rehema wa australia na asnath wa bongo bado wanaendelea kupigana
hapo m'city au?
mawasiliano yenu yapo vip kati
yako na hao mabondia baada ya ugomvi?