Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,701
- Thread starter
- #61
Jidanganye hapo.Ndio maana tuna wasomi wasiojielewa ,yaani huyu tunamtegemea km taifa,lakini angalia kilichomjaa kichwani ni upuuzi tu,na wengi wa wao ndio wako hivyo
Kazi na dawa. Kuna muda wa mambo yenye manufaa na muda wa mambo yasiyo na manufaa.
Ndio maana mada nimeileta Weekend.
Kwani nilishindwa kuileta jumatano siku iliyofuata baada ya Mahafali.
Take easy Mkuu.
