Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,701
- Thread starter
- #41
Zaidi ya ujinga sidhani Kama Kuna sababu nyingine.Mwengine walipotezana muda tu alipoenda kusoma Australia. Mwengine haieleweki alikua wapi. Walipigana kwa lipi hasa
Asinath ni mtoto wa Osyterbay. No mpenz wangu pia. Yeye amehitimu Chuo Cha IFM na Mahafali yao yalikuwa Ijumaa.
Sikumtaarifu Asinath kutokana na kuwa alikuwa Mpenzi wangu Mwingine anayeitwa Liz. Liz hakuja Mlimani City alisema anaenda Moja kwa Moja kwenye Ukumbi wa sherehe (sherehe yangu)ambapo ndio tulikuwa tunaelekea.