nimeumbuka full aibu.......... lol

nimeumbuka full aibu.......... lol

....mmh we haya!!!!!!!
uzuri mmoja akija kwangu ananisimulia yote
Evelyn Salt yule si unajua ana interest na upende wako ndo maana huwa anakuambia yote
Ila huyo mtu wako Slave kweli alinunuliwa msosi wa nguvu na Bishanga baada ya kuchoshwa na tabia yake ya kula mihogo kiloa siku
 
Last edited by a moderator:
Mwenzio wamlisha majani weye wakula kuku...majanga..

Ila shem kumbuka matembele ni bora kuliko hata kuku kwa kuwa inasaidia kuongeza damu, kinga dhidi ya maradhi, kuimarisha ngozi etc.
 
Kumbe mke unae afu ulikua unataka mke wa mtu aku- pm...mmmmh
 
Kuwa mkali kaka. Nani kampa ruhusa kuchunguza matapishi yako? Next time uwe unatafuna msosi vizuri na wewe.
 
Ila shem kumbuka matembele ni bora kuliko hata kuku kwa kuwa inasaidia kuongeza damu, kinga dhidi ya maradhi, kuimarisha ngozi etc.

We baba umesahau kuwa siku zote watu huwa wanafuata utamu na si manufaa ya kitu..??
 
Wee salt ni dot com,hawezi ishi maisha ya ugali dagaa,matembele
 
ngoja na mie nimsake Bishanga.....nile kuku!!!!!!!!

achana nae nenda chumbani kwetu katazame chini ya uvungu wa kitanda kuna kibubu kipo humo,kivunje utoe hela kisha ukanunue kuku leo iwe ni sikukuu kwetu.
 
Last edited by a moderator:
Kuwa mkali kaka. Nani kampa ruhusa kuchunguza matapishi yako? Next time uwe unatafuna msosi vizuri na wewe.

dada ulikuwa wapi jaman? Huyu wifiyo baada ya kuchunguza matapishi nikamsikia akisema nilete hotpot utapikie ? Et baadae tutavi renew
 
nitampiga vichwa huyu mwanaume, mwache tu ajitoe ufahamu.....

jaribu uone moto wa dada zangu wanajeshi King'asti na Arabela kama huyajui mateso ya kijeshi wewe nipige hivyo vichwa,utaambiwa ulibebe ziwa victoria kichwani !
 
Last edited by a moderator:
achana nae nenda chumbani kwetu katazame chini ya uvungu wa kitanda kuna kibubu kipo humo,kivunje utoe hela kisha ukanunue kuku leo iwe ni sikukuu kwetu.

unamaanisha niiname?
sitaki, nimehisi kitu hapo........nenda kanitolee wewe
 
Back
Top Bottom