nimeumbuka full aibu.......... lol

nimeumbuka full aibu.......... lol

poa... Ila chunga binti kichumvi asikufuate nyuma... Asije akatuaribia starehe zenu

haya nimekusoma ngoja nitegue kabisa ile mitego yake ya kung'ang'niana isije ikatudhuru.
 
Unamkondesha mwenzako kwa majani na misumari kumbe we wajiachia na vyuku....utaisoma namba...kazi unayo hapo
 
Unamkondesha mwenzako kwa majani na misumari kumbe we wajiachia na vyuku....utaisoma namba...kazi unayo hapo
Pretty alivyochana huwezi amini kuwa huyu mdiye mla misumari daily. Kumbe vyuku si lolote.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom