Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
jamani eeee mwenzenu yamenikuta leo.mnajua kabisa mie nina mke si ndio eeeee??/
siku naoa nilimwambia mke wangu kuwa mimi ni masikini anivumile na kwakuwa natafuta ipo siku maisha yatanoga tu
tukakubariana kuwa mimi na yeye tuji nyime katika matumizi hasa yasio ya lazima tukaanza na la kula.
tukasemezana kuwa tutakuwa tunakula dagaa mwezi mmoja,matembele mwezi mmoja, mchicha mwezi mmoja.
sasa jana bhana wakati natoka katika mihangaiko yangu Evelyn Salt akanipokea vizuri na kunipa chakula nguna kwa matembele wakati nameza tonge la kwanza tu nikakwamwa na kuanza kutapika! hamad minofu ya kuku niliyo kula kazini kwangu yoote ikamwagika mke wangu akahamaki kha!!! kumbe wewe unakulaga vinono mie unanilisha majani.................!!!!!!!??
mpaka sasa sijamjibu najiuliza nimwambie nini.. nipeni ushauri wenu aiseeeeeee.

Last edited by a moderator: