nimeumbuka full aibu.......... lol

nimeumbuka full aibu.......... lol

nitampiga vichwa huyu mwanaume, mwache tu ajitoe ufahamu.....
he ! he ! jaribu uone balaa lake hapo ndo utawajua dada zangu King'asti na Arabela kuwa walienda jeshi kucheza au kuuza sura. siku hiyo mtapigwa kijiji kizima cha chit-chat.,,.
 
Last edited by a moderator:
ufahamu umeshamtoka kashadata na mimi...... Chezeya toto miksa ya kijeruuuu!!!!

ukitaka kujua udhaifu wangu upo wapi basi nione mtoto wa mkorogo wa ujerumani na bongo jicho hunitoka pima!!!
 
he ! he ! jaribu uone balaa lake hapo ndo utawajua dada zangu King'asti na Arabela kuwa walienda jeshi kucheza au kuuza sura. siku hiyo mtapigwa kijiji kizima cha chit-chat.,,.

acha kunihaibisha bwana inamaana evelyn salt anakushinda mpaka umuitie dada zako? Umenikera ujue..!
 
Last edited by a moderator:
acha kunihaibisha bwana inamaana evelyn salt anakushinda mpaka umuitie dada zako? Umenikera ujue..!
mie siruhusiwi kupiga mtu mtu maana nina mshipa mmoja naweza mpa konde moja tu chali !!! mada kesi ikanihusu.
 
huyo dawa yake ndogo, ukimmwagia maji tu anayeyuka hapohapo kwisha habari yake...! Jaribu uone
 
hhhhhhaaaaahhha!!! ila jamani tuacheni masihara.. nyie wanaume mnaojichana kwenye restaurants wakati kwako umeacha buku sio fresh kabisa. badilikeniii.
 
waamibe Husninyo hao wanaume wenyetabia hizo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom