PesaNdogo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 1,994
- 1,293
Mapenzi yamenifanya kuwa mpweke
Kuna wengine wako kwenye mahusiano na ni wapweke vile vile, usitarajie kitokee kitu fulani ndio uwe na furaha. Wewe ndio chanzo cha furaha yako
Mapenzi yamenifanya kuwa mpweke
Kuna wengine wako kwenye mahusiano na ni wapweke vile vile, usitarajie kitokee kitu fulani ndio uwe na furaha. Wewe ndio chanzo cha furaha yako
But mapenzi ni chanzo cha furaha au maumivu
maisha mafupi haya unaweza kujikuta umeyatumia kujionea huruma na kusubiria furaha inayotumbukia nyongo mda wowote.